Finally naanza upya maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni nina laki 8 tuu


Pole mkuu
Hapo itabidi ufikiri nje ya box
 
Ona, dingi kampa 800k, msamaria kajitolea 180k *6months. Γ‘ingetafuta chumba cha 80k then 100kx6 + 800k ningekuwa na 1,400k.
Ningeanzia hapo...kuna nyakati mambo yakiwa magumu unashuka chini uanze upya tu.
Vyuma vilivyokaza hata cha 50k angepata cha kumfaa, aweke akiba ya 20 000 maji na umeme na taka kwa mwezi takataka. Budget ya chakula, bundles, na nauli ya mizunguko vyote vingeingia kwenye ile 180 000

Kuanza maisha sio kumalizia maisha
Nadhan mmechanganya anamaanisha 180k hiyo ni kodi ya 6months ,means 30k per month
 
Ushauri mzuri mno.
 
Miaka 35 ndo unaanza maisha bdo ujachelewa mkuu
 
Siwezi kusahau nitimba dar kutokea karagwe nina 50k tu mfukoni sina ndg wala nani ila kwa sasa nina kiboda na mke na kishamba hapa mjini hakika Mungu ni mkubwa
Pambana dogo
 
Nyingi sana hiyo kama una Godoro la kulalia na jiko
 
Ni ya miezi kadhaa hiyo...siyo mmoja nadhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…