Utakuwa umefanya tendo moja la kinabii Sana'a!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!shunie kakudanganya bwana!!Hee kandanganya kumbeee,..basi ngoja nipitie kwa wakala mwaya,.[emoji126][emoji126]
Kama ni hivyo sawa mkuu, japo aje atoe ufafanuzi manake narudia tu yani naona vile vile. Kama ni 30k p/m fair enough.Ni ya miezi kadhaa hiyo...siyo mmoja nadhani.
kwa mara ya kwanza unaenda kuwa na uhuru wako unakula unachotaka ukumbuke kwenda kanisani mkuu nunua unga mchele mafuta na jiko la gesi vitakusaidia siku ukifuliaNilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha
Na kuhusu hela ya kodi nashukuru kuna mwana JF amejitolea kunilipia chumba laki na 80 miezi sita chumba kipo Tabata mawenzi
Hivyo naombeni maombi yenu wana JF nimeanza upya maisha, kama kuna ushauri au maoni naombeni mnisaidie nimeanza upya safari.
So atakuwa anapeleka shida za kifamilia kwa dada zake au anamwambia mkwe naomba hela ya kulaWe huwezi kuja kuoa na kustick na ndoa yako...kama unayoandika hapa yana ukweli....huna akili ya kijituma..ndoa itakushinda mapema...labda ukitaka istick oa mwanamke mpambanaji sana..ukioa mkr anayesubiria kuachiwa hela kila siku ndoa chali...
Umeanza upya? Kwani ulishawahi kujitegemea?Asante sana ndo nimeanza upya safari
Yeah nilikuwa najitegemea nipo kwangu baada ya kuyumba kimaisha niloomba hifadhi sasa nimeanza tena upyaaUmeanza upya? Kwani ulishawahi kujitegemea?
Hiyo ni elfu 30 chumbaKama ni hivyo sawa mkuu, japo aje atoe ufafanuzi manake narudia tu yani naona vile vile. Kama ni 30k p/m fair enough.
Elezea ishu nzima. Ilikuaje ukayumba? Jinsia yako tafadhali?Yeah nilikuwa najitegemea nipo kwangu baada ya kuyumba kimaisha niloomba hifadhi sasa nimeanza tena upyaa
Kuna wanaume wanakopaga had ukweni ..ndo hawaSo atakuwa anapeleka shida za kifamilia kwa dada zake au anamwambia mkwe naomba hela ya kula
Fair enough mkuu, pambana!Hiyo ni elfu 30 chumba
Na nimelipia miezi 6 tuu
Yupo jamaa mmoja tumeoa nyumba moja, akamwambia mkwe naomba unitafutie kiwanja nimshawishi wife tujenge maana kuna matofali aliyaacha marehemu baba yake site atayatumiaKuna wanaume wanakopaga had ukweni ..ndo hawa
Acha niweke mambo sawa nijipange na ndoa
Mie niliwah ona men anakopa ukwen hajawah rudishaga helanhad wa leo🤣🤣..imagine sasanhuyu atataka nan ampe heshima.hata ukwen aliachaga kwenda😅🤣🤣...pyeeeYupo jamaa mmoja tumeoa nyumba moja, akamwambia mkwe naomba unitafutie kiwanja nimshawishi wife tujenge maana kuna matofali aliyaacha marehemu baba yake site atayatumia
Na huo ndo UNAUME!....mwanaume dizainu hii mie hata iweje nitakuheshimu balaa ..yaan hata familia yako utaisimamia barabara....respect...sio kila ukisikiliza simu za mwanaume analia lia tu .yaan analia utadhan anajidangishaBora yako umeanza na kulipiwa kodi na pesa laki nane.
Mm nilianza na nilienda mkoa mwingine baada ya kulipia chumba kwa miezi 3 kwa 45,000 nikabakiwa na 2000 tu. Jiulize mtiti wake. Hela zikiisha ndiyo utajua hela zinatafutwaje. Utafanya kazi hadi za malipo ya 1000.
Hayo sio maisha bwana[emoji23] wewe useme unyonge wetu inabidi mtu aanze hivyo, Ila ukweli ni kuwa mtu ana haki ya kuanza maisha vizuri na kufurahia kuishi.Na huo ndo UNAUME!....mwanaume dizainu hii mie hata iweje nitakuheshimu balaa ..yaan hata familia yako utaisimamia barabara....respect...sio kila ukisikiliza simu za mwanaume analia lia tu .yaan analia utadhan anajidangisha
Eli...hapa tunaongelea in general huyu anaishi popote pale best ....mfano Mungu hajakubariki ukaanzia maisja mazuri utafanya nn uchomoke huko kwenye ufukara? Yaan hapa tunaongelea kutoka kweny comfort zone.......mie sijaanzia maisha mazuri kivile bt sijawah kupanga single roomHayo sio maisha bwana[emoji23] wewe useme unyonge wetu inabidi mtu aanze hivyo, Ila ukweli ni kuwa mtu ana haki ya kuanza maisha vizuri na kufurahia kuishi.
Ugumu wa maisha na umasikini wetu isiwe sababu ya kumuona aliyeanza hivyo kuwa kidume zaidi ya kina wangari walioanza kwenye two-bedroom apartment [emoji39]