Labda alipaki gari uwaniDeni la gari maximum huwa ni 60000 tena hapo ni pamoja na penat za kuchelewa kulipia, sasa iyo 150000 inafikaje
Makosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000Deni la gari maximum huwa ni 60000 tena hapo ni pamoja na penat za kuchelewa kulipia, sasa iyo 150000 inafikaje
Duh sio mchezo mkuuMakosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000
Hawa ndo wale wapenda sheriaHuko ulipo askari hawachukui buku buku kupunguza jam?
Hao ni wanyonyaji wengine wa watanzania,njia za mfano mbaya ninazozifahamu ni barabara ya Morogoro kipande kati ya Kibaha_Mlandizi_Chalinze yupeane uzoefu wa maeneo mengine.Habari ndugu wana jamii forum, naombeni ushauri wenu hawa askari wa barabarani wamekuwa wakiandika fine bila mpangilio, nadaiwa 150000 kwa sasa nawaza nisilipe maana hata hvo hiyo hela kwa sasa sina, naombeni ambaye ameshakutana na hili swala kama langu anipe mbinu nataka niskip
je ni sawa sii sawa.Kuna siku utalipa tu,bila hvyo gari utaliacha barabaran
Mwizi simpi hela ya bure asiyoitokea jasho.Mkuu nlimpa akagoma
Pole sana. Ulitakiwa kuwa makini kwa kufuata sheria za usalama barabarani. Maana wamiliki wa magari nchini mwetu hawana tofauti na ng'ombe wa maziwa.Makosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000
Hadi lini hali hii?Pole sana. Ulitakiwa kuwa makini kwa kufuata sheria za usalama barabarani. Maana wamiliki wa magari nchini mwetu hawana tofauti na ng'ombe wa maziwa.
Makosa ya kizembe kabisa.Makosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000
Kuna fine za polisi, za Tanroads na za Tarura. Huenda ana faini ya mojawapo za hizo taasisiDeni la gari maximum huwa ni 60000 tena hapo ni pamoja na penat za kuchelewa kulipia, sasa iyo 150000 inafikaje