Fine za barabarani

Fine za barabarani

Teremaro

Member
Joined
Mar 18, 2022
Posts
29
Reaction score
26
Habari ndugu wana jamii forum, naombeni ushauri wenu hawa askari wa barabarani wamekuwa wakiandika fine bila mpangilio, nadaiwa 150000 kwa sasa nawaza nisilipe maana hata hvo hiyo hela kwa sasa sina, naombeni ambaye ameshakutana na hili swala kama langu anipe mbinu nataka niskip
 
Makosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000
Duh sio mchezo mkuu
 
Hao ni wanyonyaji wengine wa watanzania,njia za mfano mbaya ninazozifahamu ni barabara ya Morogoro kipande kati ya Kibaha_Mlandizi_Chalinze yupeane uzoefu wa maeneo mengine.
 
Makosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000
Pole sana. Ulitakiwa kuwa makini kwa kufuata sheria za usalama barabarani. Maana wamiliki wa magari nchini mwetu hawana tofauti na ng'ombe wa maziwa.
 
Makosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000
Makosa ya kizembe kabisa.
Lipa faini tuijenge Nchi.
 
Deni la gari maximum huwa ni 60000 tena hapo ni pamoja na penat za kuchelewa kulipia, sasa iyo 150000 inafikaje
Kuna fine za polisi, za Tanroads na za Tarura. Huenda ana faini ya mojawapo za hizo taasisi
 
Back
Top Bottom