Teremaro
Member
- Mar 18, 2022
- 29
- 26
Habari ndugu wana jamii forum, naombeni ushauri wenu hawa askari wa barabarani wamekuwa wakiandika fine bila mpangilio, nadaiwa 150000 kwa sasa nawaza nisilipe maana hata hvo hiyo hela kwa sasa sina, naombeni ambaye ameshakutana na hili swala kama langu anipe mbinu nataka niskip