Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada.

Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu.
Soma hapa.
20230622_102209.jpg
 
Wao km nani hadi watupangie wa kushirikiana nae?,Halafu hawa wapuuzi wanapenda sana kujipa umuhimu Kwenye Maisha yetu Sisi Waafrika.Kwani Mambo yao sisi huwa tunawaamulia?Uzuri TZ ni wanachama wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM).
 
Kamejiunga juzi kati hapo NATO,Leo hii maneno mengi.

Katika nchi ambazo Putin anazichungulia hii imo.
Sasa nimeelewa kwa nini kametema shudu hizi kwa Afrika......maana mrusi akifikiria kuanza mashambulizi ulaya, haka ka finland ndo target yake ya kwanza, kinachotokea kwao sasa ni kuweweseka.
 
Wao km nani hadi watupangie wa kushirikiana nae?,Halafu hawa wapuuzi wanapenda sana kujipa umuhimu Kwenye Maisha yetu Sisi Waafrika.Kwani Mambo yao sisi huwa tunawaamulia?Uzuri TZ ni wanachama wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM).
Tatizo uchumi wetu duni, na kupenda misaada. Ukitegemea misaada lazima uwe mnyonge katika maamuzi yako!
 
Sasa nimeelewa kwa nini kametema shudu hizi kwa Afrika......maana mrusi akifikiria kuanza mashambulizi ulaya, haka ka finland ndo target yake ya kwanza, kinachotokea kwao sasa ni kuweweseka.
Sidhani Kwa Sasa atawashambulia kijeshi NATO.

Anachohangaika nao kuua chumi zao.

Ukumbuke Uikrane ikishindwa vita na Urusi, NATO inasambaratika.
Screenshot_20230525-182741.jpg
 
Back
Top Bottom