Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

Ndugu yangu hata mimi nashangaa kelele zote ni za nini. Kwani wanalazimisha nchi nyingine kupokea misaada?
Waafrika wengi sana ni watu wa kujipa umuhimu wasio nao kwenye hela za watu wengine.

Yani mtu haoni tabu kukupangia wewe jinsi ya kutumia hela zako.

Issue ya Russia kwa Finland ni a big national security threat. Finland washapigana vita na Russia na wana mpaka mrefu tu. St. Petersburg ipo karibu zaidi na Finland kuliko ilivyo karibu na Moscow.

Kabla ya kuwashambulia Finland, angalau tusome historia.
 
Wao km nani hadi watupangie wa kushirikiana nae?,Halafu hawa wapuuzi wanapenda sana kujipa umuhimu Kwenye Maisha yetu Sisi Waafrika.Kwani Mambo yao sisi huwa tunawaamulia?Uzuri TZ ni wanachama wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM).
He who feeds you,controls you

Iko hivo siku zote,anayekulisha ndie anaekudhibiti,

Acheni kupokea misaada yao,ndipo mtakuwa huru ki-maamuzi
 
Wanaamua tu kuwapa misaaada watu wanaoendana nao kiitikadi.

Kama hamtaki si mnakataa tu misaada yao?
[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Sasa nimeelewa kwa nini kametema shudu hizi kwa Afrika......maana mrusi akifikiria kuanza mashambulizi ulaya, haka ka finland ndo target yake ya kwanza, kinachotokea kwao sasa ni kuweweseka.
Uliza Urusi kilimpata nini baada ya kuivamia Finland
 
Back
Top Bottom