Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

Wao km nani hadi watupangie wa kushirikiana nae?,Halafu hawa wapuuzi wanapenda sana kujipa umuhimu Kwenye Maisha yetu Sisi Waafrika.Kwani Mambo yao sisi huwa tunawaamulia?Uzuri TZ ni wanachama wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM).
Finland haina impact sana kwa nchi za Afrika, hana msaada sana kwetu.
Aidha, naunga mkono hoja yao ya kutokuiunga Mkono Urusi. Kwa mtu ambaye uko na akili timamu kabisa na mpenda ukweli na haki, kamwe huwezi huwezi kuiunga mkono Urusi ktk vita yake hii nchini Ukraine.
 
Ni aibu Sana huu Africa
Ki nchi chenyewe Kama katavi afu kinatunyanyasa[emoji3525]
 
Hapa ndipo unajua hakuna Cha Bure, wazungu wana targets za mbali sana, wanaona mbali, wanawalemaza Africans ili watutawale na kutuendesha kama gari.

Misaada inalemaza, na wamefanikiwa tumelemaa ni muda Sasa viongozi wetu wajitafakari.
 
Finland naye anatuvimbia?? Hii ni hatari sana, Multipolar world ni muhimu sana. Hawa Mabanzoka wanaona dunia kama yao hivi
Kuna kipindi wafanyabiashara waliokuwa wanatoa support kwa vyama vya upinzani serikali iliwakalia kooni na cha moto walikipata na wengine biashara kufa, tena hao walikuwa ni wananchi kwenye taifa moja. Sasa kweli unategemea umsapoti adui yake halafu tena uje kumuomba msaada?? Really??
 
Finland naye anatuvimbia?? Hii ni hatari sana, Multipolar world ni muhimu sana. Hawa Mabanzoka wanaona dunia kama yao hivi

wabongo mnavituko sana, we unajua kama Finland anachangia hela ya budget kwenye nchi nyingi sana barani africa?
 
Ukraine wanasema waafrika ni tumbo tu, sijui kikosi cha upatanishi kilichoenda kiliparamia masahani buffet? Nao si wangeweka biscuti kwenye begi ili wasionekane wanagombania restaurant?

Pumbav xnaa hawa
 
West na ulaya wanaona africa kua ni manyani tuh na c mara ya kwanza viongozi wao kuongea hivo.heri africa ifanye biashara na upande wa east na kwa waarabu ambao hawana hayo masharti ya kijinga
 
Wanaamua tu kuwapa misaaada watu wanaoendana nao kiitikadi.

Kama hamtaki si mnakataa tu misaada yao?
Ndugu yangu hata mimi nashangaa kelele zote ni za nini. Kwani wanalazimisha nchi nyingine kupokea misaada?
 
West na ulaya wanaona africa kua ni manyani tuh na c mara ya kwanza viongozi wao kuongea hivo.heri africa ifanye biashara na upande wa east na kwa waarabu ambao hawana hayo masharti ya kijinga
Afrika kuna kila raslimali na hali ya hewa nzuri lakini bado wanaomba misaada kutoka kwa nchi ndogo kabisa zisizo na raslimali! Thibitisha Afrika siyo manyani!
 
Kuna kipindi wafanyabiashara waliokuwa wanatoa support kwa vyama vya upinzani serikali iliwakalia kooni na cha moto walikipata na wengine biashara kufa, tena hao walikuwa ni wananchi kwenye taifa moja. Sasa kweli unategemea umsapoti adui yake halafu tena uje kumuomba msaada?? Really??

Taja nchi za Africa zinazopewa msaada na Finland huku zinamuunga mkono Russia.
 
Back
Top Bottom