Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

Ahh, Finland nayo na wakazi 5,541 milioni (2021) inaivimbia Afrika!!!!. Hawa wametudharau kweli kweli.
Walale mbele tu, tena leo hii wala wasingoje.
 
Wakate misaada, mwarabu atumie bandari na fedha apeleke Uarabuni sisi tubaki kuwa wapenzi watazamaji, twafaaaa
 
Ahh, Finland nayo na wakazi 5,541 milioni (2021) inaivimbia Afrika!!!!. Hawa wametudharau kweli kweli.
Walale mbele tu, tena leo hii wala wasingoje.
Zawadi Ngoda, huijui dunia wewe, mwenye pesa siyo mwenzako.
Na maskini hapaswi kuwa na hasira.
 
Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada.

Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu.
Soma hapa.
View attachment 2665147
Ukraine wanasema waafrika ni tumbo tu, sijui kikosi cha upatanishi kilichoenda kiliparamia masahani buffet? Nao si wangeweka biscuti kwenye begi ili wasionekane wanagombania restaurant?
 
Attachments

  • Screenshot_20230622_113923_Facebook.jpg
    Screenshot_20230622_113923_Facebook.jpg
    133.1 KB · Views: 2
Wao km nani hadi watupangie wa kushirikiana nae?,Halafu hawa wapuuzi wanapenda sana kujipa umuhimu Kwenye Maisha yetu Sisi Waafrika.Kwani Mambo yao sisi huwa tunawaamulia?Uzuri TZ ni wanachama wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM).
Sio kweli kama amfungamini na nchi yoyote mafuta urusi bei powa agizeni tuone
 
Kamejiunga juzi kati hapo NATO,Leo hii maneno mengi.

Katika nchi ambazo Putin anazichungulia hii imo.
Sijui nini kitatokea ikiowa Putin atatamani kuanza mzozo na Finland. Finland ana hiden strenght, ni nchi pekee ilipigana na uingereza na kushinda vita. Russia iliwahi kuingia vitani na Fin kisha akapigwa na Sweden
 
Hata Urusi ni nchi pekee iliyo mpiga hitler! Sasa unataka linganisha Ujerumani ya Hitler na uingereza?
 
Ukraine wanasema waafrika ni tumbo tu, sijui kikosi cha upatanishi kilichoenda kiliparamia masahani buffet? Nao si wangeweka biscuti kwenye begi ili wasionekane wanagombania restaurant?
Anamaanisha maslahi wanayotafuta Afrika ni kuondoa tatizo la kuadimika kwa nafaka hasa ngano inayotokea maeneo hayo, ingawaje Afrika inao uwezo mkubwa wa kuzalisha chakula chake yenyewe bila kuwategemea hao mabeberu ikiweka nia ya dhati.​
 
Hizi dharau sasa zimevuka mipaka ka nchi ka watu mil 5 kanaijambia Africa nzima!!

Kuna haja ya africa kuachana na misaada ya western na America na Akuwa wamoja ili kuinuana kiuchumi ili tusiwategemee wao.

Huu ni upumbavu kabisa kwa sisi watu weusi kuwategemea mpaka finland
 
Unaijuwa vizuri Finland au unachamba mdomo tu?
 
Mental case.
Ni kweli, huwezi kuyaelewa haya mpaka uwe na Mental case. Israel ni kituo cha marekani na washiriki wao katika mashariki ya kati. Silaha ambazo Marekani haziuzi kokote kule, lakini utashangaa kuwa zipo Israel.
Ukiisema vibaya Israel, nchi ya kwanza kukuwekea vikwazo vya uchumi ni Marekani.
 
Back
Top Bottom