The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Aisee ubabe ubabe tuuSerikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada.
Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu.
Soma hapa.
View attachment 2665147
Sijui wanatuchukuliaje hawa?!!!.Finland naye anatuvimbia?? Hii ni hatari sana, Multipolar world ni muhimu sana. Hawa Mabanzoka wanaona dunia kama yao hivi
Huyu ana hela kuliko nchi zote za africa united, kwanini asilinge?Finland naye anatuvimbia?? Hii ni hatari sana, Multipolar world ni muhimu sana. Hawa Mabanzoka wanaona dunia kama yao hivi
Sasa nimeelewa kwa nini kametema shudu hizi kwa Afrika......maana mrusi akifikiria kuanza mashambulizi ulaya, haka ka finland ndo target yake ya kwanza, kinachotokea kwao sasa ni kuweweseka.Kamejiunga juzi kati hapo NATO,Leo hii maneno mengi.
Katika nchi ambazo Putin anazichungulia hii imo.
Tatizo uchumi wetu duni, na kupenda misaada. Ukitegemea misaada lazima uwe mnyonge katika maamuzi yako!Wao km nani hadi watupangie wa kushirikiana nae?,Halafu hawa wapuuzi wanapenda sana kujipa umuhimu Kwenye Maisha yetu Sisi Waafrika.Kwani Mambo yao sisi huwa tunawaamulia?Uzuri TZ ni wanachama wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM).
Wanaamua tu kuwapa misaaada watu wanaoendana nao kiitikadi.Finland naye anatuvimbia?? Hii ni hatari sana, Multipolar world ni muhimu sana. Hawa Mabanzoka wanaona dunia kama yao hivi
😂 Najua viongozi wetu watasema , China yupo atatupa,Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada.
Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu.
Soma hapa.
View attachment 2665147
Sidhani Kwa Sasa atawashambulia kijeshi NATO.Sasa nimeelewa kwa nini kametema shudu hizi kwa Afrika......maana mrusi akifikiria kuanza mashambulizi ulaya, haka ka finland ndo target yake ya kwanza, kinachotokea kwao sasa ni kuweweseka.
Hta akiwa mmoja tu ni bora kuliko waafrica milioni 10 na huu ndio ukweliWatu wa rangi nyeupe hata iwe n kawilaya wanajion ni bora kuliko bara zima la Africa