Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Zawadi Ngoda, huijui dunia wewe, mwenye pesa siyo mwenzako.Ahh, Finland nayo na wakazi 5,541 milioni (2021) inaivimbia Afrika!!!!. Hawa wametudharau kweli kweli.
Walale mbele tu, tena leo hii wala wasingoje.
Safi sana, wabarikiwe Finland, na hii ndio nchi inaongoza duniani kwa RAIA wake kuwa na furaha.Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada.
Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu.
Soma hapa.
View attachment 2665147
Unajuwa Waisrael wapo wangapi? hizi ni akili za wapi?Ahh, Finland nayo na wakazi 5,541 milioni (2021) inaivimbia Afrika!!!!. Hawa wametudharau kweli kweli.
Walale mbele tu, tena leo hii wala wasingoje.
Ukraine wanasema waafrika ni tumbo tu, sijui kikosi cha upatanishi kilichoenda kiliparamia masahani buffet? Nao si wangeweka biscuti kwenye begi ili wasionekane wanagombania restaurant?Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada.
Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu.
Soma hapa.
View attachment 2665147
Sio kweli kama amfungamini na nchi yoyote mafuta urusi bei powa agizeni tuoneWao km nani hadi watupangie wa kushirikiana nae?,Halafu hawa wapuuzi wanapenda sana kujipa umuhimu Kwenye Maisha yetu Sisi Waafrika.Kwani Mambo yao sisi huwa tunawaamulia?Uzuri TZ ni wanachama wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM).
Kweli ni bora sisi ubora wetu ni wizi wa mali ya ummaWatu wa rangi nyeupe hata iwe n kawilaya wanajion ni bora kuliko bara zima la Africa
Achaneni na uomba ombaFinland naye anatuvimbia?? Hii ni hatari sana, Multipolar world ni muhimu sana. Hawa Mabanzoka wanaona dunia kama yao hivi
Sijui nini kitatokea ikiowa Putin atatamani kuanza mzozo na Finland. Finland ana hiden strenght, ni nchi pekee ilipigana na uingereza na kushinda vita. Russia iliwahi kuingia vitani na Fin kisha akapigwa na SwedenKamejiunga juzi kati hapo NATO,Leo hii maneno mengi.
Katika nchi ambazo Putin anazichungulia hii imo.
Nchi huru haiwezi kukubaliana na mikwara nyau, vinginevyo,tusiwe huru😂Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada.
Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu.
Soma hapa.
View attachment 2665147
Kwanza watakuwa wamempiga chura teke na kumwongezea mwendo wake,kutoka utegemezi wa kubweteka.Achaneni na uomba omba
Hata Urusi ni nchi pekee iliyo mpiga hitler! Sasa unataka linganisha Ujerumani ya Hitler na uingereza?Sijui nini kitatokea ikiowa Putin atatamani kuanza mzozo na Finland. Finland ana hiden strenght, ni nchi pekee ilipigana na uingereza na kushinda vita. Russia iliwahi kuingia vitani na Fin kisha akapigwa na Sweden
Jumla ya Waisreal ni (wamarekani + Uingereza+ Ufaransa+ wayahudi wote waishio nje ya Israel).Unajuwa Waisrael wapo wangapi? hizi ni akili za wapi?
Mental case.Jumla ya Waisreal ni (wamarekani + Uingereza+ Ufaransa+ wayahudi wote waishio nje ya Israel).
Msidanganyike kwenye hilo.
Ukraine wanasema waafrika ni tumbo tu, sijui kikosi cha upatanishi kilichoenda kiliparamia masahani buffet? Nao si wangeweka biscuti kwenye begi ili wasionekane wanagombania restaurant?
Unaijuwa vizuri Finland au unachamba mdomo tu?Hizi dharau sasa zimevuka mipaka ka nchi ka watu mil 5 kanaijambia Africa nzima!!
Kuna haja ya africa kuachana na misaada ya western na America na Akuwa wamoja ili kuinuana kiuchumi ili tusiwategemee wao.
Huu ni upumbavu kabisa kwa sisi watu weusi kuwategemea mpaka finland
Ni kweli, huwezi kuyaelewa haya mpaka uwe na Mental case. Israel ni kituo cha marekani na washiriki wao katika mashariki ya kati. Silaha ambazo Marekani haziuzi kokote kule, lakini utashangaa kuwa zipo Israel.Mental case.