Pumbavu zao. 🙁Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada.
Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu.
Soma hapa.
View attachment 2665147
Finland haina impact sana kwa nchi za Afrika, hana msaada sana kwetu.Wao km nani hadi watupangie wa kushirikiana nae?,Halafu hawa wapuuzi wanapenda sana kujipa umuhimu Kwenye Maisha yetu Sisi Waafrika.Kwani Mambo yao sisi huwa tunawaamulia?Uzuri TZ ni wanachama wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM).
Zawadi Ngoda, huijui dunia wewe, mwenye pesa siyo mwenzako.
Na maskini hapaswi kuwa na hasira.
Wameanza ku2piga mikwala!! umaskini mmbaya sana jamaa!!!Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada.
Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu.
Soma hapa.
View attachment 2665147
Kuna kipindi wafanyabiashara waliokuwa wanatoa support kwa vyama vya upinzani serikali iliwakalia kooni na cha moto walikipata na wengine biashara kufa, tena hao walikuwa ni wananchi kwenye taifa moja. Sasa kweli unategemea umsapoti adui yake halafu tena uje kumuomba msaada?? Really??Finland naye anatuvimbia?? Hii ni hatari sana, Multipolar world ni muhimu sana. Hawa Mabanzoka wanaona dunia kama yao hivi
Finland naye anatuvimbia?? Hii ni hatari sana, Multipolar world ni muhimu sana. Hawa Mabanzoka wanaona dunia kama yao hivi
Ukraine wanasema waafrika ni tumbo tu, sijui kikosi cha upatanishi kilichoenda kiliparamia masahani buffet? Nao si wangeweka biscuti kwenye begi ili wasionekane wanagombania restaurant?
wabongo mnavituko sana, we unajua kama Finland anachangia hela ya budget kwenye nchi nyingi sana barani africa?
Ndugu yangu hata mimi nashangaa kelele zote ni za nini. Kwani wanalazimisha nchi nyingine kupokea misaada?Wanaamua tu kuwapa misaaada watu wanaoendana nao kiitikadi.
Kama hamtaki si mnakataa tu misaada yao?
Xo what ? Ndio alete dharau na upuuzi
Afrika kuna kila raslimali na hali ya hewa nzuri lakini bado wanaomba misaada kutoka kwa nchi ndogo kabisa zisizo na raslimali! Thibitisha Afrika siyo manyani!West na ulaya wanaona africa kua ni manyani tuh na c mara ya kwanza viongozi wao kuongea hivo.heri africa ifanye biashara na upande wa east na kwa waarabu ambao hawana hayo masharti ya kijinga
Kuna kipindi wafanyabiashara waliokuwa wanatoa support kwa vyama vya upinzani serikali iliwakalia kooni na cha moto walikipata na wengine biashara kufa, tena hao walikuwa ni wananchi kwenye taifa moja. Sasa kweli unategemea umsapoti adui yake halafu tena uje kumuomba msaada?? Really??
Xo what ? Ndio alete dharau na upuuzi