nyinyi hamuumiz wananchi bei ni tsh ngap ?Sasa kama bei inapanda mnasemaje walijipanga!!?
Anaejipanga hua haathiriki namatokeo hasi yajambo fulani maana hua kaishajiandaa
Wanachofanya nikuwaumiza RAIA wao bila sababu zakimsingi nawakati huo huo hawatakaa waingie NATO
Mizungu sikuwahi kufahamu kama akili zao hazina akili kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
mwambie Putin aingie mzigon apigwe Threesome , ww upo buza unakenua tu ila Putin ashastukaKukatiwa umeme hakuna uhusiano nakuharibiwa miji
Maana umeme wamekatiwa na kichapo wanaweza kula kama kawaida
Nabado NATO wasiwe nalakufanya lolote lile
Hata UKRAINE alidhania kuiacha CRIMEA kungemnusuru na kichapo ila leo huyo anakanywa na MZAZI WAKE
Sent using Jamii Forums mobile app
mvaa kobaz huyu anaemsingizia YesuMvaa Kobaz kama Yesu ama unamsema yupi
au mvaa vipendoMvaa Kobaz kama Yesu ama unamsema yupi
Yesu ni Mvaa makobazi na Vipedo.au mvaa vipendo
Sasa bro mbona unajichanganya? Nyerere kumpiga amini ni sawa na anachofanya mrusi kwa Ukraine. Mrusi anatetea territory integrity, hawezi ruhusu adui yake asogee mlangoni kwake, hawa superpowers wanaishi kimkakati sio kindezindezi Kama Sisi huku waafrica.,Wewe unafikiri Finland itakufa njaa? Mnafurahia ufara wa fara fulani ambaye ameamua kuvamia nchi huru kibabe tu. Halafu nchi hiyo inapojitetea mnaumia. Misimamo mingine ni ya kishetani kabisa. Kama Idd Amin alivyovamia Kagera 1978, ulitaka Nyerere afanyeje kama siyo kutetea ardhi ya Tanzania?
Kwani Putin hana BP. Si afe tu kama risasi inashindikana.Kwa kitendo Chao cha kupeleka maombi kutaka kujiunga na nato ,mzee Putin amefunga koki za kupeleka gesi na tayari amewakatia umeme Sasa ngoma inogire raia wa finland
Logically anayepinga US kuvamia nchi nyengine kibabe, hawezi kuunga mkono uvamizi wa Ukraine.Tatizo lako unafikiri mi ni mjinga mwezio - kwamba nashabikia Marekani kuvamia nchi nyingine. Assumption yako ni ujinga wa hali ya juu. Ukweli ni kwamba sishabikii mtu yeyote anayevamia nchi nyingine - awe ni Idd Amin, Bush, Hitler, ama Putin. Kama una akili hata ya kuvukia barabara, utakuwa umenielewa. Hii ni vita kati ya wema na ubaya. Siyo vita kati ya Marekani na Urusi. Kama ni mbumbumbu hautanielewa.
Hoja ya Idd Amin ilikuwa kama ya Russia....Uwepo wa Milton Obote tz...Sasa bro mbona unajichanganya? Nyerere kumpiga amini ni sawa na anachofanya mrusi kwa Ukraine. Mrusi anatetea territory integrity, hawezi ruhusu adui yake asogee mlangoni kwake, hawa superpowers wanaishi kimkakati sio kindezindezi Kama Sisi huku waafrica.,
Huyu mwamba ni hatari Kadyrov[emoji91]I ask everyone who is resisting in Severodonetsk, Lisichansk, around these settlements to come to their senses and lay down their arms before they are driven into a corner, until they are destroyed and wounded. They have families at home, children, wives are waiting - Kadyrov[emoji91]
Iraq ulikuwa mkoa ndani ya Marekani si ndio?Wewe unafikiri Finland itakufa njaa? Mnafurahia ufara wa fara fulani ambaye ameamua kuvamia nchi huru kibabe tu. Halafu nchi hiyo inapojitetea mnaumia. Misimamo mingine ni ya kishetani kabisa. Kama Idd Amin alivyovamia Kagera 1978, ulitaka Nyerere afanyeje kama siyo kutetea ardhi ya Tanzania?
Basi sawa, tusubiri tuoneTutafakar upande wa pili, yaani finland. Wao hawakujua kuwa watakatiwa umeme na gas? Ni ushabiki tu usio na maana haya mataifa yanayomzingua russia yanaonekana tayari yalishajiandaa kwa muda mrefu. Kama hiyo gas na umeme ndo vingekuwa ni maisha yao, wala wasingethubutu kupeleka hayo maombi NATO, ila mpaka wanapeleka maana yake kuna namna wamejiandaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na saivi kashika bandari ya Mauripol haya msosi hauindi na mbolea watasalimu Amri tuNi emotion tu za wanasiasa kiuharisia wanaumia mbona EU wamebadiri gia angani wanaendelea kununua na walitaka waisuse wameshindwa
Pamoja na kumtusi jamaa ila wewe ndio mtupu kabisa. Unadhani Russia ni mwendawazimu kivamia Ukraine bila sababu? Hivyo ni vita. Na vita vinagharama ikiwemo kupoteza wanajeshi wako na vifaa. Mrusi sio mjinga kama unavyotaka tuamini.
Upande mwingine ungejiuliza kwanini nchi za NATO wanayataka sana hayo mataifa hata kwa damu na kuangamizwa kwa miji yao!?
Ukiyatafakari hayo,kuwaunga mkono hayo mataifa na kumpinga Russia, inaonesha hata zakuvukia barabara hazijabaki
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
kutumia maandiko kumtawala mwingine nazo ni akiliWangekuwa na akili ndogo wasingekutawala kwa zaidi ya miaka 100 na bado waendelee kukukupa misaada hadi leo
Hata UK na US walisemwa hivi hivi ila now malipo ya ruble yanazidi kushamiri hapo Gazoprambank huku ruble ikiichua vizuri USD sokoni.
Kwani Putin alishawah kutishia kuivamia Finland? Inaelekea ata sababu za kupelema jeshi Ukraine huzujui! Yani ufahamu kabisa kuwa Marekani lengo lake kuu ni kuitumia Nato ili aisogelee Russia? Hujui kama kuna washauri walishauli huko nyuma kuwa mpango wa NATO kujitanua kuelekea mashariki eneo la mashariki mwa ulaya patakuja kuwaka moto?
Hujui kuwa kuna watu walishaiambia US kuwa ukitaka kumminya Urusi basi hakikisha unaifuata wewe kule iliko atakama kwa kuwanunua viongozi waliopo nchi jiran na Russia wanunue ila ukiruhusu Russia ikufate kama ilivyokafika Ujeruman Mashariki hutoiweza?
Hujui kuwa miaka ya 60 Marekan akitaka kuishambulia CUBA sababu tu Russia alikuwa anaweka makombora yake ya Nuclear na Marekan akaona kabisa kuwa Russia ataitumia Cuba kumchapia siku moja?
Unafikiri Marekan kufika mpk Taiwan ni kwa bahati mbaya? Marekan anachotaka yeye ni kuwafikia maadui zake kupitia mataif mengine akawachunguze na ata siku mkikorofishana anapigane vita kutumia mataifa yenu si faifa lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Russia ni wajinga kiasi hicho kwamba wana vamia tu kijeshi nchi kama Ukraine bila sababu za msingi?
Au kuna mjinga mmoja yupo kati yao anatekeleza malengo yake binafsi?
Kwani European countries hawana mbadala wa gas ya Russia? Mbadala upo tatzo ni gharama kubwa hzo gas nyingine zinatoka mbali mpk zikifika kwenye nchi zao pamoja na cost za usafirishaji bei ina kuwa juu zaidi inasababisha mfumuko wa bei
Hii vita mwenye faida ni yule aliyeianzisha mmarekani ndo ana faids na hii vita atauza gesi kwa mataifa yote ambayo mrusi alikuwa anauzaatauza silaha kwa mataifa yote ya nato ambayo yataanzisha vita na urusi. Msitegemee uchumi wa mrusi kushuka wakati mataifa yote ambayo yanategemea hidhaa kutoka urusi yanatumia fesha ya urusi nafikiri uchumi wa mrusi utaimarika zaidi