Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

ni kweli upo sahihi lakini biblia ina msema marekani ndio baba wa uongo na atatetea mambo mengi ya uongo uongo.

Tukirudi kwenye uhalisia ruble imepanda thamani haijawahi tokea ila watu wamesahau hili kua ruble ndio pesa yenye thamani na ushindani mkubwa mbele ya dollar upande wa biashara.


kwa kifupi poland na bulgaria walikatiwa ila mmoja 13 na mwngne 15 wakaomba poo ila haikutangazwaaa
 
Finland walishasema week iliyopita kwamba Russia wakate gesi na mafuta maana wanajitosheleza,gesi na mafuta wanayochukua toka Russia ni 10% tu
 
Tafakari na Upande wa Tatu, viongozi wao ni wanasiasa na wananunulika, kikinuka wanasepa na wanaoumia ni wananchi.

Wananchi hawaitaki hio Nato na ukifika Uchaguzi hao wanasiasa Hawashindi tena.

Wanasiasa wengi Ulaya Hali ni tete kwa sasa, wengi hawatashinda Uchaguzi kwa hii Blunder ya Urusi waliofanya.
 
Wangekuwa na akili ndogo wasingekutawala kwa zaidi ya miaka 100 na bado waendelee kukukupa misaada hadi leo
 
Kama Germany walivyojiandaa. Huoni hawateseki hata kido!!!
Na Russia ni wajinga sana. Wanakata umeme na gesi wakiwa hawajui kwamba kutawaathiri maadui. Mpaka mtanzania wa Buza alieshiba magimbi yake anajua kuwa jamaa walishajiandaa muda mrefu!!!

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Ujue kuna mshabiki wa ushoga kampandisha

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kumtusi jamaa ila wewe ndio mtupu kabisa. Unadhani Russia ni mwendawazimu kivamia Ukraine bila sababu? Hivyo ni vita. Na vita vinagharama ikiwemo kupoteza wanajeshi wako na vifaa. Mrusi sio mjinga kama unavyotaka tuamini.

Upande mwingine ungejiuliza kwanini nchi za NATO wanayataka sana hayo mataifa hata kwa damu na kuangamizwa kwa miji yao!?

Ukiyatafakari hayo,kuwaunga mkono hayo mataifa na kumpinga Russia, inaonesha hata zakuvukia barabara hazijabaki

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
sasa unahis pesa wanaokota labda waliwazid kuokota ? wazungu huangalia mbali zaid , cost za huo umeme ni tofauti.na cost za kukutana na kazia ya vita km Ukraine , so wamepiga mahesabu makubwa kuwa kwasasa lzm wakutane na hayo ila hayana uzito km kuharibika kwa miji km Ukraine
 
tatizo la hawa wavaa kobaz lipo hapo
 
wavaa kobaz mna tatzo sn
 
wavaa kobaz mna ttzo sn , mnahis Finland ni chattle ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…