Finland waanza mbinu za kuepuka gesi ya Urusi, jameni Putin anazidi kuzika nchi yake kiuchumi na kijeshi

Hizo nchi za kidini za waarabu zingekua na madude au akili kama Marekani, tungeisha hii dunia.... Ni vyema sana kwa Marekani kumiliki madude kama haya ya F35 na HIMARS na mengine mengi ambayo ni siri yao, at-least dunia inatulia.
Machma tu yaliyonakshiwa hamna kitu humo
 
Umekazana na waarabu hapa tunamzungumzia Russia

Ulihamisha mada kwenda kuzungumza kuhusu teknolojia kali ya F35 kiboko cha waarabu.
Hata hivyo Russia hana umuhimu wa kuzungumzwa kuhusu tena, sio yule niliyekua nadhani, kumbe useless.
 
Kaitumieni Ukraine tuone
 
Kaitumieni Ukraine tuone

Pale Ukraine hatuna haja ya kutuma vitu vikubwa, HIMARS pekee zimemliza Mrusi na kumdhoofisha hadi yeye sio tegemezi wa waarabu tena, hizo F35 ni kwa ajili ya kajamba mwingine yeyote ambaye bado hatujamsoma vizuri.
 
Su34 su27 zinatamba hadi kyiv hayo madude yamefanya nini ??🤣🤣🤣🤣
 
Wapi....Urusi alishanyimwa air superiority...kaingia hasara ya military inventory mithili ya mara kumi ya JWTZ/KDF/UDF.....
Ndio maana waarabu wamemhama.

1672385780-671.jpg
 
On December 29, the Russian Ministry of Defense released a video showing Su-35 aircraft in action, demonstrating the combat capabilities of the Russian Aerospace Forces’ Flanker-E multipurpose fighters in Ukraine.

According to the ministry, the Russian Aerospace Forces’ Su-35S fighters undertake air patrols, support the movements of attack planes and army helicopters, and perform airstrikes on the infrastructure and equipment utilized by the Ukrainian Armed Forces.

The ministry added that fighter planes operate with suspended missiles of several types. When an air target was spotted during one of the flights, the Su-35S crew identified it as an enemy aircraft and used a missile to bring it down

Jitie tu upofu

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
 
Achana na video games za Warusi, kwanza hizo ndege zimepigwa chini nyingi hadi Putin hana hamu.
Zitakosa soko kwa waarabu.
 
Ushahidi upi zaidi ya habari ambazo zipo kila siku.
Uwage na akili 😅😅😅😅😅

Ungekuwa bongo ungewasikia wanawake wanasema "nina UBUYU WA MOTO" (hot gossip to spread)
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
 
Attachments

  • IMG-20221230-WA0050.jpg
    IMG-20221230-WA0050.jpg
    54.6 KB · Views: 1
Uwage na akili 😅😅😅😅😅

Ungekuwa bongo ungewasikia wanawake wanasema "nina UBUYU WA MOTO" (hot gossip to spread)
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

Safi hivyo hivyo mpaka waarabu wa Bongo muongee lugha moja... Ha ha ha!!
 
NATO ndege zao rafale ya France, Saab JAS 39 Gripen ya Sweden, Eurofighter Typhoon ya (UK,GERMAN, ITALY & Spain ) + F. SERIES ZA USA < RUSSIA's SU&MIG GENS 😂😂😂😂😂😂
 
Urusi ameshindwa na kainchi kadogo kwa air superiority, unadiriki kutaja mwamba USA?
Acha upuuzi 😅😅😅😅😅 Su 27 zinaruka na kupiga hadi Kyiv na SAMS za US zina-JAM
 
Back
Top Bottom