F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,645
Machma tu yaliyonakshiwa hamna kitu humoHizo nchi za kidini za waarabu zingekua na madude au akili kama Marekani, tungeisha hii dunia.... Ni vyema sana kwa Marekani kumiliki madude kama haya ya F35 na HIMARS na mengine mengi ambayo ni siri yao, at-least dunia inatulia.
Umekazana na waarabu hapa tunamzungumzia RussiaMwafrika hauwezi kuona kitu, kazi kuzaliana, ila waulize waarabu kwanini hawawezi kuthubutu kuchezea....
Umekazana na waarabu hapa tunamzungumzia Russia
Kaitumieni Ukraine tuoneUlihamisha mada kwenda kuzungumza kuhusu teknolojia kali ya F35 kiboko cha waarabu.
Hata hivyo Russia hana umuhimu wa kuzungumzwa kuhusu tena, sio yule niliyekua nadhani, kumbe useless.
Kaitumieni Ukraine tuone
Nipe linkKasome habari mpya imetolewa jana na Germany
Su34 su27 zinatamba hadi kyiv hayo madude yamefanya nini ??π€£π€£π€£π€£Pale Ukraine hatuna haja ya kutuma vitu vikubwa, HIMARS pekee zimemliza Mrusi na kumdhoofisha hadi yeye sio tegemezi wa waarabu tena, hizo F35 ni kwa ajili ya kajamba mwingine yeyote ambaye bado hatujamsoma vizuri.
On December 29, the Russian Ministry of Defense released a video showing Su-35 aircraft in action, demonstrating the combat capabilities of the Russian Aerospace Forcesβ Flanker-E multipurpose fighters in Ukraine.Wapi....Urusi alishanyimwa air superiority...kaingia hasara ya military inventory mithili ya mara kumi ya JWTZ/KDF/UDF.....
Ndio maana waarabu wamemhama.
On December 29, the Russian Ministry of Defense released a video showing Su-35 aircraft in action, demonstrating the combat capabilities of the Russian Aerospace Forcesβ Flanker-E multipurpose fighters in Ukraine.
According to the ministry, the Russian Aerospace Forcesβ Su-35S fighters undertake air patrols, support the movements of attack planes and army helicopters, and perform airstrikes on the infrastructure and equipment utilized by the Ukrainian Armed Forces.
The ministry added that fighter planes operate with suspended missiles of several types. When an air target was spotted during one of the flights, the Su-35S crew identified it as an enemy aircraft and used a missile to bring it down
Jitie tu upofu
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Russian MoD Releases Video Of Su-35 Fighters In Action; Jets Conduct Patrols, Perform Airstrikes On Ukraine
On December 29, the Russian Ministry of Defense released a video showing Su-35 aircraft in action, demonstrating the combat capabilities of the Russian Aerospace Forces' Su-35S multipurpose fighters in Ukraine.eurasiantimes.com

Leta ushahidiπAchana na video games za Warusi, kwanza hizo ndege zimepigwa chini nyingi hadi Putin hana hamu.
Zitakosa soko kwa waarabu.
Leta ushahidiπ
Uwage na akili π π π π πUshahidi upi zaidi ya habari ambazo zipo kila siku.
24 Su-35 Downed in Ukraine War, Russiaβs Over-hyped Su-35 Fighter Jet is Doomed
Brig. Gen. Oleksiy Gromov, deputy chief of the Ukrainian General Staff, had some hot gossip to spill about the Russian aviation industry in a briefing to the Ukrainian Media Center on Augβ¦www.google.com
Kwaio elewa kwa air superiority US+ NATO<RUSSIASafi hivyo hivyo mpaka waarabu wa Bongo muongee lugha moja... Ha ha ha!!
Acha upuuzi π π π π π Su 27 zinaruka na kupiga hadi Kyiv na SAMS za US zina-JAMUrusi ameshindwa na kainchi kadogo kwa air superiority, unadiriki kutaja mwamba USA?
Acha upuuzi π π π π π Su 27 zinaruka na kupiga hadi Kyiv na SAMS za US zina-JAM