Firauni wa Misri alidakwa muda kama huu alipotamka yale anayotamka na kutenda Netanyahu wa Israel

Vitu vingine vya ajabu sana. Na hii ndio inayoonesha uduni wa fikra zenu na namna dini inaongozwa kwa uongo na uzushi ndugu zangu. Hivi ni kwanini uislam hauwezi kusimama wenyewe bila kujinafisha na Ukristo na Uyahudi.

Duniani kuna dini nyingi na nyingi zinajitegemea zenyewe ila sio uislam. Ukristo unajisimamia wenyewe na hautaji dini nyingine. Uyahudi unajisimamia wenyewe. Wale mabusha wanasimama wenyewe ila sio Uislam.

Wenyewe hauwezi jisimamia na umekuja makusudi kwa ajili ya kuleta vita na chuki Duniani. Eri wayahudi ni bora waende kuswali msikitini😀😀😀😀.

Eti wakristo wanaabudu sanamu na umejisahaulisha kuwa mnaenda kulibusu jiwe pale macca kila mwaka.

Naomba unijibi, je unamjua Allah ni nani? Je unajua chanzo au asili ya lile jiwe pale Kaaba macca? Je unajua wakuresh walikuwa wanaabudu nini? Je unaijua dini ya Babu, Baba na Muhammad kabla ya kuanzishwa kwa uislam? Je kuna sehemu kwenye kuran Muhammad aliikana dini ya mababu zake?
 
Twende taratibu; kwani Firauni/Farao alipambana na nani? Si na hawa hawa wajukuu wa Musa? Yaani babu zao na kina Netanyahu ndio waliopambana na huyo Firauni, babu zao ndio walisababisha JESHI lote la Firauni kuzama baharini. Wajukuu wanarudia yale yale ya babu zao. Kasome tena, utaelewa tu. Msiwachokoze hao watu, wakitulia..., waacheni, hawanaga noma na mtu wale
 
Mkuu tunasubiri sana
 
Mleta hoja mbona unalalamika na kupiga mayowe badala ya kujenga hoj?!
Walianzisha hii kitu ni hawa magaidi wa Hamas, hizbolah na hawa wa Yemen, sasa ulitaka waachwe?
dawa ya moto ni moto, acha wapelekewe moto walioutaka!
 
Shida ya waislamu ni kama wanawake wao ndo wanajiona wana haki tuh mamaee zenuu ngojeni mkufee akili ziwakae kwa wayahudi
 
Huyu firauni ndio aliwatesa hawa hawa wayahudi mnaotaka kuwaangamiza sasa nyie kobazi na firauni lengo lenu ni moja
 
Hiyo habari kuwa Netanyahu amejeruhiwa, ifute kabisa. Ni uwongo. Imefafanuliwa kuwa Wahouth wa Yemen walirusha kombora wakati waliotegemea ndege ya Netanyahu ingetua, lakini kombora hilo lilidunguliwa kabla ya kuongia anga la Israel.

India News wamefafanua vizuri.
 
Akili yako ndogo sana. Firaun alimdhihaki Mungu wa akina Yusuph ambaye hakuwa mwarabu .
Kipindi hicho bwana zako waarabu wanaabudu mashetwain jangwani mpaka alipokuja Muhammad kuwabadilishia upepo.
Kwa hiyo hapo badilisha msemo....sema waarabu wa Hamas na Hezbullah wanafanya kama farao wanamdhihaki Mungu wa Israel.
 
Ulikuwepo wewe mjomba. Unamezeshwa story unaimeza kama zuzu bila kuhoji.
 
Historia ya Firauni mliitoa wapi maana ilitendeka hata kabla muarabu hajabuni Uislamu.
Ifahamike Firauni alishindwa dhidi ya Wayahudi, na nyie vivyo hivyo mtashindwa tu.
 
Nanukuu: "Benjamin Netanyahu naye katika zama zetu na miaka hii michache amekuwa akitamka maneno mengi sana ya kibri. Maneno yake yamesababisha watu wengi kuanza kumdhihaki Mungu 9Allah) wakiwemo wana Jf."
Mkuu; Hayo unayoyaita maneno mengi sana ya kibri ni yapi kwa mfano. Mkiambiwa ukweli mnaupindisha na kusema......Mkitendwa sawa sawa na wingi wa jeuri yenu mnakimbiza lawama kwa Marekani na EU. Kwa kweli Mwamba alisema hakuna mahali mkono wa IDF haufiki...
 
Yaan uchokoze wenzako alafu uje nanhadithi za Firauni,Jinga kweli wewe
 
Mungu wa waisrael enzi hizo ni waislamu ndio Mungu wetu wote ambaye hajabadilika.
Hivi yule Mungu wa enzi hizo ndiye huyo huyo siku hizi mnathubutu kumwita Allah? Mabadiliko hayo yamefanyika lini na kwa Ruksa(Idhini) ya nani?
Isije ikawa Wayahudi waliwazidi jamaa ujanja wakawabadilishia yule Mungu Og na kuwapa mungu fake (kanyaboya)halafu wao wayahudi wakajiondokea kiulaiiini na yule Mungu halisi Og..
 
Mkuu mbona unanilalamikia mimi maelezo yangu ni kwa mujibu wa sheria za imani ya kiyahudi sio maneno yangu

Fanya utafiti

Kuja na lugha mbaya na mashambulizi juu ya dini ya kiislam haibadilishi ukweli kwamba mayahudi wanawaona nyie wakristo ni waabudu sanamu

Na ni marufuku kwa yahudi kuingia kanisani kufanya ibada ila msikitini ruhsa pale inapobidi wanakula chakula kilichoandaliwa na waislam ila cha wakristo wanaita najis hiyo ni kwa kua wanaamini wao na waislam wanaamini MUNGU mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…