Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Vitu vingine vya ajabu sana. Na hii ndio inayoonesha uduni wa fikra zenu na namna dini inaongozwa kwa uongo na uzushi ndugu zangu. Hivi ni kwanini uislam hauwezi kusimama wenyewe bila kujinafisha na Ukristo na Uyahudi.Wakristo hasa hawa wa bongo wanapenda sana kubwabwaja hawana maarifa kabisa
Ni sheria ya imani ya kiyahudi waislam na mayahudi wanaabudu MUNGU mmoja ila ni tofauti na wakristo
wakristo wanajulikana kama waabudu sanamu
Ni sheria ya imani ya kiyahudi kwa yahudi kuingia msikitini kufanya ibada inapobidi ila ni marufuku kuingia kanisani wanaita ni nyumba ya waabudu sanamu
Nyie wakristo wa jamii forums nyie na mayahudi ni tofauti kabisa acheni kujipendekeza mnatia aibu
Duniani kuna dini nyingi na nyingi zinajitegemea zenyewe ila sio uislam. Ukristo unajisimamia wenyewe na hautaji dini nyingine. Uyahudi unajisimamia wenyewe. Wale mabusha wanasimama wenyewe ila sio Uislam.
Wenyewe hauwezi jisimamia na umekuja makusudi kwa ajili ya kuleta vita na chuki Duniani. Eri wayahudi ni bora waende kuswali msikitini😀😀😀😀.
Eti wakristo wanaabudu sanamu na umejisahaulisha kuwa mnaenda kulibusu jiwe pale macca kila mwaka.
Naomba unijibi, je unamjua Allah ni nani? Je unajua chanzo au asili ya lile jiwe pale Kaaba macca? Je unajua wakuresh walikuwa wanaabudu nini? Je unaijua dini ya Babu, Baba na Muhammad kabla ya kuanzishwa kwa uislam? Je kuna sehemu kwenye kuran Muhammad aliikana dini ya mababu zake?