Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Acha kujifariji kama uislamu na uyahudi ungekua na mahusiano unayolazimisha kwa nguvu zote kusingekua na chuki iliyopo kati yenuHajr hakuwa mchepuko wa Ibrahim
Kuliko baki umezungumza vizuri kiasi ila
Hata wewe huwa unashuhudia kwamba nyie wakristo hapa jukwaani mmezidisha chuki dhidi ya uislam na waislam hamna hoja nyie ni matusi na kebehi tu
Ujumbe mzuri umetoa ila umeuelekeza mahala si sahihi mkuu
Inaamaana hezbollah, houthi, na iran hawajui kama wanauhusiano na wayahudi mbona wanapigana mpaka viongozi wao wanauliwa
Nchi zote za kiarabu wanawachukia wayahudi kupita maelezo anzia morocco, nenda algeria, egypt mpaka pakistani chuki yao waliyonayo kwa wayahudi ni kubwa sana sasa unapolazimisha eti kuna uhusiano mkubwa sana kinakua ni kituko cha karne
