sir mushi
Senior Member
- May 26, 2013
- 143
- 52
UDOM ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli?
Namuuliza rafiki yangu anaye soma UDOM anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.
Njoo SUA uone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lakini maprofesa wakamtuliza na kumwambia aje afundishe yeye. Hiyo 'Education' wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma 'Vertinary medicine'.
Mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentleman ya SUA.