'First Class' ya UDOM ni sawa na 'Gentleman' ya SUA

sir mushi

Senior Member
Joined
May 26, 2013
Posts
143
Reaction score
52
UDOM ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli?

Namuuliza rafiki yangu anaye soma UDOM anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.

Njoo SUA uone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lakini maprofesa wakamtuliza na kumwambia aje afundishe yeye. Hiyo 'Education' wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma 'Vertinary medicine'.

Mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentleman ya SUA.
 
Naona umevurugwa kweli, ila hebu nenda kwanza hospitali ukapime akili zako kua ziko vizuri au si makosa yako? Haiwezekan utoe vi2 mtaani afu utuletee upuuzi wako hapa 2ujadili!!!!!!!!!!!!
 
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.
Daah post nyingine jamani... Huyu jamaa utadhani ametoka kufufuka..... duuh huu ni ushuzi uliochanganyika na uharo na kipolo cha chai...:tape:
 
Hv ww unadhan elimu n kudisko,,wabongo kwa kukariri,kwa bahati mbaya udom naskia haina kozi za klimo...halafu mtaala unaotumika udsm,ndo unaotumika udom na c-n 40,sio hyo ulyotongozewa...halfu ungekuja,na statistics ya waliodsko kat ya sua & udom,tuanze kupima hata namna ya kutahn
 
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.

-JF imeingiliwa jamani, toka umejifunza ku log in imekua shida, nani kakuambia C ya udom inaanzia 35? au unatafuta umaarufu humu jamvini? UNCONTROLED MIND NEVER CONQUER!
-Inamaana SUA hata education(chemistry/maths,geography/maths etc), Bsc hortculture, wanapasua wanyama? dogo SUA naiheshimu sana sitaki niamini kama inaweza kuzalisha mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe.
-wewe ni miongoni mwa wajinga wanaofurahia shule yao kuongoza lakini yeye ana division 5.
-SUA ni chuo cha kilimo, bahati mbaya siku hizi watu hawataki kulima wanakimbilia mjini,(kama hujui mjini huendi na jembe unaenda na CV)
-SUA ni chuo cha sayansi, it means wanaoenda pale A-level walisoma either PCM, PCB,CBG,CBN,CBA & EGM, In that case ni sawa na watu wanaosoma COLLEGE OF INFORMATICS,( Engineering courses), COLLEGE OF HEALTH & ALLIED SCIENCES, COLLEGE OF EARTH SCIENCES,(Geology, petrolleum, mining etc), COLLEGE OF NATURAL & MATHEMATICAL SCIENCE,( Bsc maths, Bsc physics, Bsc chemistry etc), Hebu jaribu kuwauliza watu wanaosoma college hizo hapo juu usikie wanakuambiaje, sio unakurupuka tu.
-LAST,
-tetea GPA yako usitetee chuo
"LET US NOT SEEK TO SATISFY OUR THIRSTY FOR FREEDOM BY DRINKING FROM THE CUP OF BITTERNESS AND HATRED."
 
Mdau nikusahihishe tu kuwa SUA kuna kozi za arts hata wa HKL,HGL wanasoma,
kuna BA Rural Development,kuna Tourism Management,haijalishi advance umesoma sayansi au arts,huo ubishi mwingine nawaachieni,mkija mtaani ndo mtajua CHUO NI GPA AU UELEWA?
 
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.

gentomen ndiyo nini??
 
ndugu yangu umepotea,KIDISCO WANAFUNZI WENGI MAANA YAKE HAWAELEWI,HAKUNA UFUNDISHAJI,MAANA WANAFUNZI WENGI WALIOINGIa CHUO WAMEKUMBANA NA NECTA ZA KUFA MTU,SASA KWANINI CHUO WAKIMBIZWE?MAANA YAKE HAWAELEWI YANAYOFUNDISHWA NA WAALIMU LABDA HAWAJUI KUFUNDISHA,PIA KUMBUKA VYUO KAMA UDOM WAMEADOPT KILA KITU KAMA UDSM,SO ACHA MAONGEZI YAKO AMBAYO HAYAJENGI,PIA INANIONESHA WEWE NI MTU WA NAMNA GANI,NIMESHAKUPATA,BADILISHA AKILI,INAWEZEKANA UKIPELEKWA DOM MASOMO YAKAKUPIGA VILEVILE TU...MBONA WENZAKO WA SUA HAWAJAPOST KUKASHIFU VYUO VINGINE.MIMI SIPO UDOM SO SIITETEI KWASABABU NASOMA PALE HAPANA.
AkIli yA dArAsAnI nI tOfAuTi Na AkIlI yA MtAaNi:majani7:

11 RULES YOU WILL NEVER LEARN IN SCHOOL BY BILL GATES

Rule 1: Life is not fair – get used to it!

Rule 2: The world doesn’t care about your self-esteem. The world will expect you to accomplish something BEFORE you feel good about yourself.

Rule 3: You will NOT make $60,000 a year right out of high school. You won’t be a vice-president with a car phone until you earn both.

Rule 4: If you think your teacher is tough, wait till you get a boss.

Rule 5: Flipping burgers is not beneath your dignity. Your Grandparents had a different word for burger flipping: they called it opportunity.

Rule 6: If you mess up, it’s not your parents’ fault, so don’t whine about your mistakes, learn from them.

Rule 7: Before you were born, your parents weren’t as boring as they are now. They got that way from paying your bills, cleaning your clothes and listening to you talk about how cool you thought you were. So before you save the rain forest from the parasites of your parent’s generation, try delousing the closet in your own room.

Rule 8: Your school may have done away with winners and losers, but life HAS NOT. In some schools, they have abolished failing grades and they’ll give you as MANY TIMES as you want to get the right answer. This doesn’t bear the slightest resemblance to ANYTHING in real life.

Rule 9: Life is not divided into semesters. You don’t get summers off and very few employers are interested in helping you FIND YOURSELF. Do that on your own time.

Rule 10: Television is NOT real life. In real life people actually have to leave the coffee shop and go to jobs.

Rule 11: Be nice to nerds. Chances are you’ll end up working for one
 
first class ya UDOM,UDSM unadisco kabisa tena mwaka wa kwanza
 
nimesoma udom Bsc.ed(chemistry&biology),kiukweli shule pale ipo nahawatanii hatakidogo unacho ongea ww niushuzi mtupu,bila shaka unataka kujifurahisha au uliomba ukatoswa ndio unafanya post defensive mechanism humu kwamaumivu yakukataliwa...nimehimtimu nimeomba kazi nakufanya interview nimepita salama kabisa tena nimewapita hata waliomaliza vyuo vingine ulivyo olewa navyo kifikra,napiga kazi na ninapokea pesa ndefu!ELIMU NI UWEZO SIO CHUO ULICHO SOMA AU CHETI....ukitaka kuamini njoo maofisini nakwenye soko la ajira!usipende kupost vitu ambavyo huna uhakika navyo...
 
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.

View attachment 124273
 
we unatafuta umaarufu kupitia chuo cha UDOM tu huna jipya.....! krb UDOM coED tukupe info zaid n c kulopoka upate cfa za kisenge. UDOM WE EMBRACING KNOWLEDGE
 
hahahahahaha maisha bila unafki hayaendiiii na binadamu tukiambiwa ukweli huwa tunaumia na kuanza kutukana na huo ndio ukweli udom chuo cha kata wahadhiri hawana wanamajengo mazuri na cafeterias nzuri....ili wale na kulala bt elimu hakuna...
hahhahahaaa ukibisha we bisha na utukane na huo ndio ukweli.....first ya class ya udom ni sawa na gentlemen aka pass ailiyonayo muheshimiwa fulani hv....

....maisha bila unafki hayaendi bana
 
Back
Top Bottom