Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Usijieleze sana, maana haibadilishi chochote. Binadamu anakupenda ama kukukubali dakika tano tu za kwanza anapokuona, hata kabla hujajieleza.
Namaanisha, binadamu anakukataa moyoni dakika tano tu za kwanza mara anapokuona kwa mara ya kwanza. BILA SABABU YOYOTE, yaani, JINSI ULIVYO TU, anakukubali ama kukukataa. Mengine utakayofanya ni nyongeza tu juu ya hisia alizopata alivyokuona.
Unaweza usiamini hili, ila ndiyo asili ya mwanadamu. Binadamu hatutumii SABABU ama haitaji SABABU kukukubali au kukukataa. Ni suala la mtazamo na hisia tu anazokuwa nazo mtu juu yako.
Ukijua hili itakusaidia sana kutolazimisha mahusiano, kukubalika ama kupendwa.