First impression at first sight ndiyo hubeba kibali cha mahusiano yoyote. Jipange vyema unapokwenda kukutana na mtu au taasisi kwa mara ya kwanza

First impression at first sight ndiyo hubeba kibali cha mahusiano yoyote. Jipange vyema unapokwenda kukutana na mtu au taasisi kwa mara ya kwanza

Sio mara zote,kuna mtu first impression unaweza kumuelewa sana ila baada ya muda kukaa naye kidogo ukaona hapa ni bogas tupu.
Kweli kabisa, binafsi napenda nimjue mtu kwa kumuobserve na sio tantalila zake.
 
Back
Top Bottom