Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Dec 30, 2024 #21 First impression... Last conclusion!
N ntuchake JF-Expert Member Joined Apr 17, 2024 Posts 408 Reaction score 1,549 Dec 30, 2024 #22 mountain climber said: Hii inaweza kuwa applicable sehem ya kazini?kwamba hata kweny interview hyo first impression inaweza tumika? Click to expand... Unaweza usiamini ila inatumika sana kwenye interview! Kwa ufupi first impression inatumika kila sehemu.
mountain climber said: Hii inaweza kuwa applicable sehem ya kazini?kwamba hata kweny interview hyo first impression inaweza tumika? Click to expand... Unaweza usiamini ila inatumika sana kwenye interview! Kwa ufupi first impression inatumika kila sehemu.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Dec 30, 2024 #23 jiwe angavu said: Sio mara zote,kuna mtu first impression unaweza kumuelewa sana ila baada ya muda kukaa naye kidogo ukaona hapa ni bogas tupu. Click to expand... Kweli kabisa, binafsi napenda nimjue mtu kwa kumuobserve na sio tantalila zake.
jiwe angavu said: Sio mara zote,kuna mtu first impression unaweza kumuelewa sana ila baada ya muda kukaa naye kidogo ukaona hapa ni bogas tupu. Click to expand... Kweli kabisa, binafsi napenda nimjue mtu kwa kumuobserve na sio tantalila zake.
M mountain climber JF-Expert Member Joined Aug 31, 2024 Posts 311 Reaction score 461 Dec 30, 2024 #24 ntuchake said: Unaweza usiamini ila inatumika sana kwenye interview! Kwa ufupi first impression inatumika kila sehemu. Click to expand... Daah...basi sie sura pasono tutafute Cha kufanya kwa kwel
ntuchake said: Unaweza usiamini ila inatumika sana kwenye interview! Kwa ufupi first impression inatumika kila sehemu. Click to expand... Daah...basi sie sura pasono tutafute Cha kufanya kwa kwel
N ntuchake JF-Expert Member Joined Apr 17, 2024 Posts 408 Reaction score 1,549 Dec 31, 2024 #25 mountain climber said: Daah...basi sie sura pasono tutafute Cha kufanya kwa kwel Click to expand... Sio lazima uwe na sura nzuri ili umuimpress mtu, utakavyojiweka pia kunaweza kumuimpress mtu
mountain climber said: Daah...basi sie sura pasono tutafute Cha kufanya kwa kwel Click to expand... Sio lazima uwe na sura nzuri ili umuimpress mtu, utakavyojiweka pia kunaweza kumuimpress mtu