babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
mijipumbavu pumbavu tu km hii ndio inaanza kuongea upuuzi,huyo mama na wanae washashinda,bwana anaweza kujjikata tu akarudi kivingine labda mwalimu wa jogg au climb kwa madameKwani vipi leo ni birthday yake au? Hujasema unataka sisi tufanyeje au unadhani hatujui kama huyo mama naye kazaliwa kama sisi?
Hahaha kwa hiyo jamaa ni "mfano wa kuigwa"Hahahhaaaaaaa Mapenzi mkuu Macron ametoa tafasiri pana sana na funzo kwa jamii nadhani kwa ili Africa bado tuko na ukakasi
Hakika ni mfano imara kabisa mkuuHahaha kwa hiyo jamaa ni "mfano wa kuigwa"
Imekaa poa yaani boga na ua lake.Sawa hamna tatizo
Nasikia mume kijana ni punga kwa hiyo huyo nyanya yake ni mke jina tuLove hiii!!! [emoji1][emoji1][emoji1]
Yeah wao wanakwambia age doesnt matterImekaa poa yaani boga na ua lake.