TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Mamlaka ya usimamizi wa Wanyamapori TAWA mkoani Mwanza imefanikisha kuua fisi wawili walioripotiwa kupora mtoto na kumjeruhi katika kijiji cha Nsola kata ya Nsola Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza.
Askari wa TAWA walifanikiwa kuwaua fisi hao huku mmoja akikutwa na hirizi katika mkia wake kama inavyonekana katika picha ya kwanza.
Askari wa TAWA walifanikiwa kuwaua fisi hao huku mmoja akikutwa na hirizi katika mkia wake kama inavyonekana katika picha ya kwanza.