Fisi waliopora Mtoto Wilayani Magu, wakutwa na hirizi

Fisi waliopora Mtoto Wilayani Magu, wakutwa na hirizi

Advance nlisoma na watu wa Kanda hyo wengi sana wanapenda shule za Moshi, wapo vizuri sana darasani hasa masomo science, wapole & washamba sijui kwann hawataki kuacha kulogana
Natamani kujua kipi kinawafanya hawa jamaa wanakua vizuri katika masomo ya sayansi, unafahamu? Nilisoma nao kadhaa advance,
 
Tuna tatizo la msingi!
Yani kama sio kuwafunga matambara hayo basi kuna uwezekano yalijiviringisha tu kwa bahati mbaya katika pita pita za fisi kwenye makazi ya watu. Mara ngapi kuku, mbuzi, bata, mbuzi nk tunawasaidia kuwatoa mavitu kama hayo yanayojishika mwilini kwa bahati mbaya?
Leo kwa sababu ni fisi basi tushaitengenezea heading, na tunavyopenda kushadadia mambo ya ushirikina tunalikuza tukio balaa!

Ni hivi majuzi tu punguani mmoja kaficha jiwe kwenye kanga kadanganya maiti ya mtoto imebadilika jiwe, tumeshadadia sana, kumbe ni ujanja ujanja tu wa kipumbavu, jitokeze sasa uwaambie watu hakuma kitu kama hicho huo ni mchezo tu wa kuzua taharuki uone watakavyokuangukia kama mwewe
You may be right but witchcraft is there anyway.
 
Hata kama lkn huwezi skia mchaga anafanya uchawi wa kindezi kama huo wa Kanda ya ziwa. Nimekaa ile mikoa mitatu ya kaskazini Arusha, Manyara na Knjaro sijawahi shuhudia tukio la kishirikina la kutisha ila haya ya kuzindika upate Mali yapo sana
Arusha, kabila la wameru wakijua kuna mmeru mchawi wanakuchomea nyumba, nimeshuhudiaga hili
 
Tuna tatizo la msingi!
Yani kama sio kuwafunga matambara hayo basi kuna uwezekano yalijiviringisha tu kwa bahati mbaya katika pita pita za fisi kwenye makazi ya watu. Mara ngapi kuku, mbuzi, bata, mbuzi nk tunawasaidia kuwatoa mavitu kama hayo yanayojishika mwilini kwa bahati mbaya?
Leo kwa sababu ni fisi basi tushaitengenezea heading, na tunavyopenda kushadadia mambo ya ushirikina tunalikuza tukio balaa!

Ni hivi majuzi tu punguani mmoja kaficha jiwe kwenye kanga kadanganya maiti ya mtoto imebadilika jiwe, tumeshadadia sana, kumbe ni ujanja ujanja tu wa kipumbavu, jitokeze sasa uwaambie watu hakuma kitu kama hicho huo ni mchezo tu wa kuzua taharuki uone watakavyokuangukia kama mwewe
Watanzania wengi ni wajinga ( Godwin Mollel, 2023). Mtu yeyote anayeamini ulozi ni mjinga wa kuwa go cha lami. Hapo ni mtu kamfunga fisi kitambaa cheusi au tambala limejiviringisha mkiani wakati fisi akiwa kwenye hekaheka porini ila watu wanatengenezea stori. Ndio maana tunasema uchawi is a hoax
 
Mamlaka ya usimamizi wa Wanyamapori TAWA mkoani Mwanza imefanikisha kuua fisi wawili walioripotiwa kupora mtoto na kumjeruhi katika kijiji cha Nsola kata ya Nsola Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza.

Askari wa TAWA walifanikiwa kuwaua fisi hao huku mmoja akikutwa na hirizi katika mkia wake kama inavyonekana katika picha ya kwanza.

Duh
 
Back
Top Bottom