Kuwa makini huenda mkeo alirithishwa, akifikia umri flani makucha yataotaWakwe zangu wasukuma nyie ni hatari na nusu
Ni watu wakarimu sana sema wachawi mnoo๐๐๐ sijawahi fika huo ukanda na sitamani kwenda
Advance nlisoma na watu wa Kanda hyo wengi sana wanapenda shule za Moshi, wapo vizuri sana darasani hasa masomo science, wapole & washamba sijui kwann hawataki kuacha kuloganaNi watu wakarimu sana sema wachawi mnoo
Kanda ya kati Dodoma, Singida, Tabora, hadi Kigoma na kanda ya ziwa yote ni uchawi wa kurudishana nyuma tuAdvance nlisoma na watu wa Kanda hyo wengi sana wanapenda shule za Moshi, wapo vizuri sana darasani hasa masomo science, wapole & washamba sijui kwann hawataki kuacha kulogana
Bora sisi tunazindika tupate Mali ๐over!Kanda ya kati Dodoma, Singida, Tabora, hadi Kigoma na kanda ya ziwa yote ni uchawi wa kurudishana nyuma tu
Tuna tatizo la msingi!kulikua na haja gani kuwafunga hayo matambara baada ya kuwauwa hao fisi