Fisi waliopora Mtoto Wilayani Magu, wakutwa na hirizi

Advance nlisoma na watu wa Kanda hyo wengi sana wanapenda shule za Moshi, wapo vizuri sana darasani hasa masomo science, wapole & washamba sijui kwann hawataki kuacha kulogana
Natamani kujua kipi kinawafanya hawa jamaa wanakua vizuri katika masomo ya sayansi, unafahamu? Nilisoma nao kadhaa advance,
 
You may be right but witchcraft is there anyway.
 
Hata kama lkn huwezi skia mchaga anafanya uchawi wa kindezi kama huo wa Kanda ya ziwa. Nimekaa ile mikoa mitatu ya kaskazini Arusha, Manyara na Knjaro sijawahi shuhudia tukio la kishirikina la kutisha ila haya ya kuzindika upate Mali yapo sana
Arusha, kabila la wameru wakijua kuna mmeru mchawi wanakuchomea nyumba, nimeshuhudiaga hili
 
Watanzania wengi ni wajinga ( Godwin Mollel, 2023). Mtu yeyote anayeamini ulozi ni mjinga wa kuwa go cha lami. Hapo ni mtu kamfunga fisi kitambaa cheusi au tambala limejiviringisha mkiani wakati fisi akiwa kwenye hekaheka porini ila watu wanatengenezea stori. Ndio maana tunasema uchawi is a hoax
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…