Una duka la magodoro? mkiwa JF kila kitu mnajuaYap maana ndio sehemu pekee aliyobakisha kwa ajili ya kujipatia ulaji.
Huku kwenye magodoro soko limebadilika watu wamesanuka
Mimi nitaumia kama Nabi ataondoka ila wengine hawaniumizi kichwaKama Yanga iliweza kumuuza Makambo na pesa yake wakanunua Mukoko na wengine hakuna ubaya akiuzwa Mayele na kununua vyuma vingine.
GSM pesa ipo; atambakisha. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Lazima ulainike tu.Kama hii tetesi ikiwa kweli basi Yanga ipo kwenye ushindani mkali sana wa kumfanya Mayele aendelee kubaki
Watu wamesanuka nini kwenye magodoro mkuuYap maana ndio sehemu pekee aliyobakisha kwa ajili ya kujipatia ulaji.
Huku kwenye magodoro soko limebadilika watu wamesanuka
We mwenyewe nauhakika hutumii GSM foam.Una duka la magodoro? mkiwa JF kila kitu mnajua
U hater utakuua, shabikia mpira biashara za watu achana nazo! kingine punguza kukaa vijiweni kuna hotel moja maarufu sana Dar wanatumia GSM foam wewe umekaa hapo Ku diss hustle za watuWe mwenyewe nauhakika hutumii GSM foam.
Yale magodoro sio
Hatumdai acha aende tuu. Binafsi ameitendea haki kazi aliyoajiriwa kuifanya. Ameiheshimisha Yanga, Kama ofa nzuri ikija Yanga wamuache tu.
Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.
Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al Hilal ya Sudan ila machafuko ya kisiasa yanatishia dili hilo kufanikiwa.
JE, YANGA ATASIMAMA BILA MAYELE?
Mpira nao ni biashara hilo kwani hulijui?U hater utakuua, shabikia mpira biashara za watu achana nazo! kingine punguza kukaa vijiweni kuna hotel moja maarufu sana Dar wanatumia GSM foam wewe umekaa hapo Ku diss hustle za watu
Magodoro yake hayafai kabisa yanaumiza sana mgongo na ukiamka asubuhi unakuwa umechoka sana najuta kufanya sub na mshikaji nikamwambia godoro langu yeye akaniachia la GSMYap maana ndio sehemu pekee aliyobakisha kwa ajili ya kujipatia ulaji.
Huku kwenye magodoro soko limebadilika watu wamesanuka
Hovyo sana yale magodoro najuta kubadirishana na jamaa godoro languWe mwenyewe nauhakika hutumii GSM foam.
Yale magodoro sio
Sawa umeshindaMpira nao ni biashara hilo kwani hulijui?
Afu leo unakataza watu wasiseme vibaya biashara za watu wakati nyinyi Mo mnamuita kanjibai na matangazo yake kwenye jezi mnayaita makolokolo.
Hujui yake matangazo kwenye jezi ni sehemu ya ku brand biashara yake?
Sasa huyo GSM sisi ndio tunaelezea uhalisia wake kuhusu biashara yake ya vigodoro.
Hotel moja ipi? Unaweza kuitaja? Maana nauhakika hata yeye hatumii magodoro yake.
Kumbe tulikuwa tunashindana?Sawa umeshinda