Fiston Mayele kutimka Yanga

Fiston Mayele kutimka Yanga

Hichilema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,608
Reaction score
1,687
1684762112594.png

Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.

Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al Hilal ya Sudan ila machafuko ya kisiasa yanatishia dili hilo kufanikiwa.

JE, YANGA ATASIMAMA BILA MAYELE?
 
Hatumdai acha aende tuu. Binafsi ameitendea haki kazi aliyoajiriwa kuifanya. Ameiheshimisha Yanga, Kama ofa nzuri ikija Yanga wamuache tu.
 
U hater utakuua, shabikia mpira biashara za watu achana nazo! kingine punguza kukaa vijiweni kuna hotel moja maarufu sana Dar wanatumia GSM foam wewe umekaa hapo Ku diss hustle za watu
Mpira nao ni biashara hilo kwani hulijui?

Afu leo unakataza watu wasiseme vibaya biashara za watu wakati nyinyi Mo mnamuita kanjibai na matangazo yake kwenye jezi mnayaita makolokolo.

Hujui yale matangazo kwenye jezi ni sehemu ya ku brand biashara yake?

Sasa huyo GSM sisi ndio tunaelezea uhalisia wake kuhusu biashara yake ya vigodoro.

Hotel moja ipi? Unaweza kuitaja? Maana nauhakika hata yeye hatumii magodoro yake.
 
Mpira nao ni biashara hilo kwani hulijui?

Afu leo unakataza watu wasiseme vibaya biashara za watu wakati nyinyi Mo mnamuita kanjibai na matangazo yake kwenye jezi mnayaita makolokolo.

Hujui yake matangazo kwenye jezi ni sehemu ya ku brand biashara yake?

Sasa huyo GSM sisi ndio tunaelezea uhalisia wake kuhusu biashara yake ya vigodoro.

Hotel moja ipi? Unaweza kuitaja? Maana nauhakika hata yeye hatumii magodoro yake.
Sawa umeshinda
 
katika hili makolo lazima wasapoti kuuzwa kwa mayele, hata akiondoka shida iko palepale
 
Back
Top Bottom