Ukilala kwenye yale magodoro usiku mzima utakuwa unafanya kazi ya kugeuza mbavu.Magodoro yake hayafai kabisa yanaumiza sana mgongo na ukiamka asubuhi unakuwa umechoka sana najuta kufanya sub na mshikaji nikamwambia godoro langu yeye akaniachia la GSM
Kama ulikuwa unalala kwenye yale magodoro halafu siku ukaja kulala kwenye mkeka.Hovyo sana yale magodoro najuta kubadirishana na jamaa godoro langu
Ni kweli yale magodoro sio kabisaa. Sijui TBS walipewa kitu kidogo hayafai kwa matumizi ya binadamuKama ulikuwa unalala kwenye yale magodoro halafu siku ukaja kulala kwenye mkeka.
Hawezi kuja kurudi kulala kwenye yale magodoro tena, mkeka utaona unakupa comfort kuliko yale magodoro
Unatumia magodoro ya wanafunzi alafu unalalamika ingia mfukoni nunua godoro lenye inchi za kuelewekaMagodoro yake hayafai kabisa yanaumiza sana mgongo na ukiamka asubuhi unakuwa umechoka sana najuta kufanya sub na mshikaji nikamwambia godoro langu yeye akaniachia la GSM
Ni moja ya maoni ya hovyo kuhusu mpira niliyowah kukutana nayo ktk uhai Wang mpk sasaKama ni kweli Yanga watakuwa wajinga kumng'ang'ania huyo jamaa , wampige pesa tuu ,ndo biashara ya Mpira ilivyo msimu ujao anaweza flop mpak wakashangaa
Magodoro ya gsm yanabonyea kinoma nilinunua 2021 asee ukilala linabak shimo halipand tena,labda km siku hiz kuna version mpya ya products zake za magodoro, ilibid niuze kwa hasara tuWatu wamesanuka nini kwenye magodoro mkuu
Yale sio magodoro yani mara 100 mkekaMimi Yanga ila kwenye magodoro GSM sio kabisaaaa nilivoona bei ndogo nikanunua asee nilikuwa navunja mbavu hatari
Yaani Mayele ni mpumbavu wa kiasi cha kuondoka timu kama Yanga, na kusajiliwa Orlando Pirates au Kaizer Chiefs kweli!!
Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.
Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al Hilal ya Sudan ila machafuko ya kisiasa yanatishia dili hilo kufanikiwa.
JE, YANGA ATASIMAMA BILA MAYELE?
Utakuwa umenunua ya bei che aiseeMagodoro yake hayafai kabisa yanaumiza sana mgongo na ukiamka asubuhi unakuwa umechoka sana najuta kufanya sub na mshikaji nikamwambia godoro langu yeye akaniachia la GSM
Kwa sasa africa Mayele ni kama Dhahabu vyombo vya habari, mitandao ya kijamii kote anatrend yeye plus kiwango swala hilo haliepukiki.Kama hii tetesi ikiwa kweli basi Yanga ipo kwenye ushindani mkali sana wa kumfanya Mayele aendelee kubaki
Ni moja ya maoni ya hovyo kuhusu mpira niliyowah kukutana nayo ktk uhai Wang mpk sasa
Yaan sababu ya kumuuza Mayele iwe no hofu ya yeye kuflop next season,bro uko sawa kweli ww?!!
Unaijua dhahabu wewe?Kwa sasa africa Mayele ni kama Dhahabu vyombo vya habari, mitandao ya kijamii kote anatrend yeye plus kiwango swala hilo haliepukiki.
Kiwango cha kawaida bana msimkuze kihivyoLabda utakuwa huna uelewa kuhusu mpira mkuu, au inawezekana Una uelewa Ila hujanielewa , Ronaldo alipokuwa kwenye peak Ferguson alimuuza sababu kuu ni kiwango kikubwa cha pesa kilichotolewa , ukiachana na pesa za wadhamini na haki za matangazo , biashara kubwa zaidi kwenye mpira ni kuuza wachezaji....
Mayele yupo kiwango cha juu Kwa sasa kama amevutia timu kubwa zenye mtonyo mzuri ni wakat sasa wa kufanya biashara nzuri .... Sio Kwa sababu ya hofu ya kuflop Ila ni Kwa sababu ya pesa nzuri iliyopo mezani , suala la kuflop ni mawazo yangu kuhusu hasara unayoweza tokea endapo wataachia deal ( inaweza tokea au istokee ) Kwa maoni yangu wamuuze mana sioni aking'ara kama hv msimu ujao
Eng Hersi wakati akihojiwa Live supersport katika show kubwa ya football Soccer Africa alisema kipaumbele cha kwanza ni kubakisha best players ila akitaka mwenyewe changamoto mpya watamruhusu hawawezi kumshikilia mchezaji kufosi abaki.Kama ni kweli Yanga watakuwa wajinga kumng'ang'ania huyo jamaa , wampige pesa tuu ,ndo biashara ya Mpira ilivyo msimu ujao anaweza flop mpak wakashangaa
Sijawahi kuyafikiria wala kusikia kuyahusu kumbe poor quality hivyoMagodoro ya gsm yanabonyea kinoma nilinunua 2021 asee ukilala linabak shimo halipand tena,labda km siku hiz kuna version mpya ya products zake za magodoro, ilibid niuze kwa hasara tu
Mayele kwa Africa sasa ni kama Dhahabu , kwa sisi tunaoangalia michezo vituo vikubwa kama Supersport ,BBC ,Canal nk wanaelewa ila ukiwa unashinda kwa Jemedari Saidi hautoelewa.Unaijua dhahabu wewe?
Hyo ni kauli ya kuongeza thaman Kwa mchezaji ili auzwe Kwa pesa ndefu zaidiEng Hersi wakati akihojiwa Live supersport katika show kubwa ya football Soccer Africa alisema kipaumbele cha kwanza ni kubakisha best players ila akitaka mwenyewe changamoto mpya watamruhusu hawawezi kumshikilia mchezaji kufosi abaki.