Fiston Mayele kutimka Yanga

Fiston Mayele kutimka Yanga

Magodoro yake hayafai kabisa yanaumiza sana mgongo na ukiamka asubuhi unakuwa umechoka sana najuta kufanya sub na mshikaji nikamwambia godoro langu yeye akaniachia la GSM
Ukilala kwenye yale magodoro usiku mzima utakuwa unafanya kazi ya kugeuza mbavu.

Yale yanatumika jela kama apparatus sehemu ya mateso kwa ajili ya wale wafungwa wenye kesi kubwa
 
Hovyo sana yale magodoro najuta kubadirishana na jamaa godoro langu
Kama ulikuwa unalala kwenye yale magodoro halafu siku ukaja kulala kwenye mkeka.

Hawezi kuja kurudi kulala kwenye yale magodoro tena, mkeka utaona unakupa comfort kuliko yale magodoro
 
Ni kweli yale magodoro sio kabisaa. Sijui TBS walipewa kitu kidogo hayafai kwa matumizi ya binadamu
 
Magodoro yake hayafai kabisa yanaumiza sana mgongo na ukiamka asubuhi unakuwa umechoka sana najuta kufanya sub na mshikaji nikamwambia godoro langu yeye akaniachia la GSM
Unatumia magodoro ya wanafunzi alafu unalalamika ingia mfukoni nunua godoro lenye inchi za kueleweka
 
Kama ni kweli Yanga watakuwa wajinga kumng'ang'ania huyo jamaa , wampige pesa tuu ,ndo biashara ya Mpira ilivyo msimu ujao anaweza flop mpak wakashangaa
Ni moja ya maoni ya hovyo kuhusu mpira niliyowah kukutana nayo ktk uhai Wang mpk sasa

Yaan sababu ya kumuuza Mayele iwe no hofu ya yeye kuflop next season,bro uko sawa kweli ww?!!
 
Watu wamesanuka nini kwenye magodoro mkuu
Magodoro ya gsm yanabonyea kinoma nilinunua 2021 asee ukilala linabak shimo halipand tena,labda km siku hiz kuna version mpya ya products zake za magodoro, ilibid niuze kwa hasara tu
 
Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.

Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al Hilal ya Sudan ila machafuko ya kisiasa yanatishia dili hilo kufanikiwa.

JE, YANGA ATASIMAMA BILA MAYELE?
Yaani Mayele ni mpumbavu wa kiasi cha kuondoka timu kama Yanga, na kusajiliwa Orlando Pirates au Kaizer Chiefs kweli!!

Mayele bado yupo yupo sana Yanga. Na muda si mrefu ataongeza mkataba. Just wait and see. Msimu ujao ataendelea kutetema kama ilivyo kawaida yake.
 
Magodoro yake hayafai kabisa yanaumiza sana mgongo na ukiamka asubuhi unakuwa umechoka sana najuta kufanya sub na mshikaji nikamwambia godoro langu yeye akaniachia la GSM
Utakuwa umenunua ya bei che aisee
 
Ni moja ya maoni ya hovyo kuhusu mpira niliyowah kukutana nayo ktk uhai Wang mpk sasa

Yaan sababu ya kumuuza Mayele iwe no hofu ya yeye kuflop next season,bro uko sawa kweli ww?!!

Labda utakuwa huna uelewa kuhusu mpira mkuu, au inawezekana Una uelewa Ila hujanielewa , Ronaldo alipokuwa kwenye peak Ferguson alimuuza sababu kuu ni kiwango kikubwa cha pesa kilichotolewa , ukiachana na pesa za wadhamini na haki za matangazo , biashara kubwa zaidi kwenye mpira ni kuuza wachezaji....

Mayele yupo kiwango cha juu Kwa sasa kama amevutia timu kubwa zenye mtonyo mzuri ni wakat sasa wa kufanya biashara nzuri .... Sio Kwa sababu ya hofu ya kuflop Ila ni Kwa sababu ya pesa nzuri iliyopo mezani , suala la kuflop ni mawazo yangu kuhusu hasara unayoweza tokea endapo wataachia deal ( inaweza tokea au istokee ) Kwa maoni yangu wamuuze mana sioni aking'ara kama hv msimu ujao
 
Kwa sasa africa Mayele ni kama Dhahabu vyombo vya habari, mitandao ya kijamii kote anatrend yeye plus kiwango swala hilo haliepukiki.
Unaijua dhahabu wewe?
 
Labda utakuwa huna uelewa kuhusu mpira mkuu, au inawezekana Una uelewa Ila hujanielewa , Ronaldo alipokuwa kwenye peak Ferguson alimuuza sababu kuu ni kiwango kikubwa cha pesa kilichotolewa , ukiachana na pesa za wadhamini na haki za matangazo , biashara kubwa zaidi kwenye mpira ni kuuza wachezaji....

Mayele yupo kiwango cha juu Kwa sasa kama amevutia timu kubwa zenye mtonyo mzuri ni wakat sasa wa kufanya biashara nzuri .... Sio Kwa sababu ya hofu ya kuflop Ila ni Kwa sababu ya pesa nzuri iliyopo mezani , suala la kuflop ni mawazo yangu kuhusu hasara unayoweza tokea endapo wataachia deal ( inaweza tokea au istokee ) Kwa maoni yangu wamuuze mana sioni aking'ara kama hv msimu ujao
Kiwango cha kawaida bana msimkuze kihivyo
 
Kama ni kweli Yanga watakuwa wajinga kumng'ang'ania huyo jamaa , wampige pesa tuu ,ndo biashara ya Mpira ilivyo msimu ujao anaweza flop mpak wakashangaa
Eng Hersi wakati akihojiwa Live supersport katika show kubwa ya football Soccer Africa alisema kipaumbele cha kwanza ni kubakisha best players ila akitaka mwenyewe changamoto mpya watamruhusu hawawezi kumshikilia mchezaji kufosi abaki.
 
Magodoro ya gsm yanabonyea kinoma nilinunua 2021 asee ukilala linabak shimo halipand tena,labda km siku hiz kuna version mpya ya products zake za magodoro, ilibid niuze kwa hasara tu
Sijawahi kuyafikiria wala kusikia kuyahusu kumbe poor quality hivyo
 
Eng Hersi wakati akihojiwa Live supersport katika show kubwa ya football Soccer Africa alisema kipaumbele cha kwanza ni kubakisha best players ila akitaka mwenyewe changamoto mpya watamruhusu hawawezi kumshikilia mchezaji kufosi abaki.
Hyo ni kauli ya kuongeza thaman Kwa mchezaji ili auzwe Kwa pesa ndefu zaidi
 
Back
Top Bottom