Cheki naye huyu mpambe wako ukikaidi utapigwa2 ye ikishafikaga maswala ya Yanga na kumsifia Mayele anapiga thumb up bila kujua ukweli wa hicho kituMayele kwa Africa sasa ni kama Dhahabu , kwa sisi tunaoangalia michezo vituo vikubwa kama Supersport ,BBC ,Canal nk wanaelewa ila ukiwa unashinda kwa Jemedari Saidi hautoelewa.
Wewe ni wakuonea huruma upo kwenye kipindi kigumu sanaCheki naye huyu mpambe wako ukikaidi utapigwa2 ye ikishafikaga maswala ya Yanga na kumsifia Mayele anapiga thumb up bila kujua ukweli wa hicho kitu
Hivi mnazijua dhahabu?
Au ni vijana wawili ambao mmeamua kuitukanisha dhahabu kwa kuifafanisha na vitu vya kijinga?
Nasikia yanaumiza utumboMagodoro yake hayafai kabisa yanaumiza sana mgongo na ukiamka asubuhi unakuwa umechoka sana najuta kufanya sub na mshikaji nikamwambia godoro langu yeye akaniachia la GSM
Bro unajua boli kweli?Yaani Mayele ni mpumbavu wa kiasi cha kuondoka timu kama Yanga, na kusajiliwa Orlando Pirates au Kaizer Chiefs kweli!!
Mayele bado yupo yupo sana Yanga. Na muda si mrefu ataongeza mkataba. Just wait and see. Msimu ujao ataendelea kutetema kama ilivyo kawaida yake.
Unaijua dhahabu?Wewe ni wakuonea huruma upo kwenye kipindi kigumu sana
Yaani aondoke TZ aende South? South hakuna mpira kule
Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.
Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al Hilal ya Sudan ila machafuko ya kisiasa yanatishia dili hilo kufanikiwa.
JE, YANGA ATASIMAMA BILA MAYELE?
Pole kwa unayo pitia yana mwisho vumiliaUnaijua dhahabu?
Sisi ni wakarimu sanaa..mlete mzungu tuu ndio tulimnyanyapaa na wale wajomba zake maximo😆😆Sema tanzania tunajua kupromote wachezaji na kuwafanya wajisikie nyumbani ukitoa maslahi sidhani kama kuna mchezaji huwa anatamani kuachana na vibe, lifestyle na culture ya kibongo.
Hapo hamna kituBro unajua boli kweli?
Kwamba watu wanalalia pamba au?Yap maana ndio sehemu pekee aliyobakisha kwa ajili ya kujipatia ulaji.
Huku kwenye magodoro soko limebadilika watu wamesanuka
sina cha kufanya zaidi ya kuhurumiaHapo hamna kitu
Kuna huyo na propagandist wa GSM ukikaidi utapigwa2
Hivyo vichwa ni shuhuli kuvielewa
Africa anajichelewesha sana Mayele, hawa francophones ni rahisi sana kupenya kwenye soka la ulaya kupitia France na Belgium. Kwanini asiende zake huko mapema kabla umri haujamtupa mkono?Kama hii tetesi ikiwa kweli basi Yanga ipo kwenye ushindani mkali sana wa kumfanya Mayele aendelee kubaki
Tutamuongezea mshaharaKama hii tetesi ikiwa kweli basi Yanga ipo kwenye ushindani mkali sana wa kumfanya Mayele aendelee kubaki
Watu wanalalia magodoro bora, GSM zile ni sponji bado hazijafikia vigezo vya kuitwa magodoroKwamba watu wanalalia pamba au?
Godoro ni godoro DodomaWatu wanalalia magodoro bora, GSM zile ni sponji bado hazijafikia vigezo vya kuitwa magodoro
huyo wanatakiwa wamuuze kwa dau kubwa sana, si chini ya bilioni mbili. ndo wamwachie.
Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.
Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al Hilal ya Sudan ila machafuko ya kisiasa yanatishia dili hilo kufanikiwa.
JE, YANGA ATASIMAMA BILA MAYELE?
Ila we jamaa wewe.Africa anajichelewesha sana Mayele, hawa francophones ni rahisi sana kupenya kwenye soka la ulaya kupitia France na Belgium. Kwanini asiende zake huko mapema kabla umri haujamtupa mkono?
Maana yake mshahara unatakiwa uwe mrefu ili iwe kikwazo kwa Club inayomtaka isiweze kumudu.
Unafikiri hawajui basi.Godoro ni godoro Dodoma