Afu Baleke ana trend Ulaya (kwa sauti ya makolo). Ifike wakati watu waaçhe kumlinganisha king Mayele na vitu vya kipuuzi.Kwa sasa africa Mayele ni kama Dhahabu vyombo vya habari, mitandao ya kijamii kote anatrend yeye plus kiwango swala hilo haliepukiki.
Ni kawaida team inapokuwa inaenda kucheza big match / competition kubwa kuwepo kwa mind games kama hizi.Kama hii tetesi ikiwa kweli basi Yanga ipo kwenye ushindani mkali sana wa kumfanya Mayele aendelee kubaki
Ulimjua GSM kupitia magodoro au ulmjua kupitia yanga???We mwenyewe nauhakika hutumii GSM foam.
Yale magodoro sio
Nilifikiri upo serious kumbe una ushabiki maandazi. Aliyekwambia waafrika wote waliopo ulaya walianza kwa kuchezea Al Ahly na Mamelody ni nani?Ila we jamaa wewe.
Yani hapo alipo bado unaona umri wake unaenda sawa na muda?
Wenzetu wa mambele wametuzidi sana kwenye vision ya mpira hususani linapokuja swala la kutaka kusajili.
Wanaposajili wachezaji hawaangalii matokeo ya mwisho ya mchezaji sijui ana goli 10 na assist 8, wao wanaangalia ubora wa mpinzani mpaka jamaa akafunga hizo goli 10.
Sasa we unacheza na Rivers, Mazembe ambao ni too low as fck halafu unataka kukaa mstari mmoja na watu kama Peter Shalulile, Hamza Khabba na Kahraba
Ukiona Al Ahly, Mamelody hawashoboki na mchezaji ambaye wewe kwenye lihi yetu hapa unamuona ni hatari ujue huyo kwenye level za wakubwa ni Zuchu tu.
Yani Al Ahly wakuone regular halafu zitoke Clubs za ulaya zishoboke na wewe, hiyo inawezekana vipi?
Acha uongo hapo hakudunga alifanya kutoa pasi ya goliDaah!Ila Mwamba Avue Mask,Sio Mayele Ni Usain Bolt.
Hivi Tutawaelezaje Watoto zetu watuelewe Kuwa Huyo wa Nyuma Mwenye Jezi Nyeusi Alifunga Goli.View attachment 2632713
Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.
Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al Hilal ya Sudan ila machafuko ya kisiasa yanatishia dili hilo kufanikiwa.
JE, YANGA ATASIMAMA BILA MAYELE?
Mafanikio ya mtu yanakuumiza kiasi hiki?Ila we jamaa wewe.
Yani hapo alipo bado unaona umri wake unaenda sawa na muda?
Wenzetu wa mambele wametuzidi sana kwenye vision ya mpira hususani linapokuja swala la kutaka kusajili.
Wanaposajili wachezaji hawaangalii matokeo ya mwisho ya mchezaji sijui ana goli 10 na assist 8, wao wanaangalia ubora wa mpinzani mpaka jamaa akafunga hizo goli 10.
Sasa we unacheza na Rivers, Mazembe ambao ni too low as fck halafu unataka kukaa mstari mmoja na watu kama Peter Shalulile, Hamza Khabba na Kahraba
Ukiona Al Ahly, Mamelody hawashoboki na mchezaji ambaye wewe kwenye lihi yetu hapa unamuona ni hatari ujue huyo kwenye level za wakubwa ni Zuchu tu.
Yani Al Ahly wakuone regular halafu zitoke Clubs za ulaya zishoboke na wewe, hiyo inawezekana vipi?
Wote hatupo serious,Nilifikiri upo serious kumbe una ushabiki maandazi. Aliyekwambia waafrika wote waliopo ulaya walianza kwa kuchezea Al Ahly na Mamelody ni nani?
Mafanikio gani?Mafanikio ya mtu yanakuumiza kiasi hiki?
Soma historia ya Sadio Mane jinsi alivyoingia france kisha urudi uniambie kwa timu ipi aliyokuwa akichezea afrika. Kiwango cha Mayele kama una wasiwasi nacho basi siwezi kukulazimisha lakini ujiulize tu kwanini taarifa zake zimekuwa haziishi kwenye social media platforms za CAF.Wote hatupo serious,
Kwa kiwango kipi dhidi ya timu ipi alichokionesha mpaka kiwa impress Europe Clubs?
Ila we jamaa unachekeshaSoma historia ya Sadio Mane jinsi alivyoingia france kisha urudi uniambie kwa timu ipi aliyokuwa akichezea afrika. Kiwango cha Mayele kama una wasiwasi nacho basi siwezi kukulazimisha lakini ujiulize tu kwanini taarifa zake zimekuwa haziishi kwenye social media platforms za CAF.
Ahh magodoro yale shenzi sana nlinunua 12 inches baada ya miez 5 unaamka usiku unapumzikaWe mwenyewe nauhakika hutumii GSM foam.
Yale magodoro sio
Hata hueleweki, rudia post yako niliyokujibu kabla ya hii. Uliuliza kwa kiwango gani alichonacho Mayele? Mimi ndiyo nimekujibu kama una wasiwasi na kiwango chake jiulize kwanini anapostiwa sana na CAF? Sakho alipostiwa mara chache na goli lake la shirikisho msimu uliopita sijui kama msimu huu kapostiwa hata kwa bahati mbaya.Ila we jamaa unachekesha
Kwa hiyo CAF kumpost post Mayele hiyo ndio funguo ya yeye kuweza kuwa impress Europe Clubs?
Taarifa za CAF zinachapisha stori za Mayele peke yake hakuna wachezaji wengine?
Nao hao wote wapo kwenye list ya kuwaniwa na Clubs za Ulaya?
Kati ya Sakho na Mayele ni nani ambaye ameandikwa sana kwenye socia media za CAF?
Hili tukio mi mpaka leo hata sielewi ulikuwaje.Daah!Ila Mwamba Avue Mask,Sio Mayele Ni Usain Bolt.
Hivi Tutawaelezaje Watoto zetu watuelewe Kuwa Huyo wa Nyuma Mwenye Jezi Nyeusi Alifunga Goli.View attachment 2632713