Fiston Mayele kutimka Yanga

Fiston Mayele kutimka Yanga

Kwa sasa africa Mayele ni kama Dhahabu vyombo vya habari, mitandao ya kijamii kote anatrend yeye plus kiwango swala hilo haliepukiki.
Afu Baleke ana trend Ulaya (kwa sauti ya makolo). Ifike wakati watu waaçhe kumlinganisha king Mayele na vitu vya kipuuzi.
 
IMG-20230523-WA0019.jpg
 
Mpira ni biashara, wakifika bei wamchukue tu, tutatafuta mwingine kama tulivyomtafuta yeye
 
Kama hii tetesi ikiwa kweli basi Yanga ipo kwenye ushindani mkali sana wa kumfanya Mayele aendelee kubaki
Ni kawaida team inapokuwa inaenda kucheza big match / competition kubwa kuwepo kwa mind games kama hizi.
 
Daah!Ila Mwamba Avue Mask,Sio Mayele Ni Usain Bolt.
Hivi Tutawaelezaje Watoto zetu watuelewe Kuwa Huyo wa Nyuma Mwenye Jezi Nyeusi Alifunga Goli.
IMG_20230518_150044.jpg
 
Ila we jamaa wewe.

Yani hapo alipo bado unaona umri wake unaenda sawa na muda?

Wenzetu wa mambele wametuzidi sana kwenye vision ya mpira hususani linapokuja swala la kutaka kusajili.

Wanaposajili wachezaji hawaangalii matokeo ya mwisho ya mchezaji sijui ana goli 10 na assist 8, wao wanaangalia ubora wa mpinzani mpaka jamaa akafunga hizo goli 10.

Sasa we unacheza na Rivers, Mazembe ambao ni too low as fck halafu unataka kukaa mstari mmoja na watu kama Peter Shalulile, Hamza Khabba na Kahraba

Ukiona Al Ahly, Mamelody hawashoboki na mchezaji ambaye wewe kwenye lihi yetu hapa unamuona ni hatari ujue huyo kwenye level za wakubwa ni Zuchu tu.

Yani Al Ahly wakuone regular halafu zitoke Clubs za ulaya zishoboke na wewe, hiyo inawezekana vipi?
Nilifikiri upo serious kumbe una ushabiki maandazi. Aliyekwambia waafrika wote waliopo ulaya walianza kwa kuchezea Al Ahly na Mamelody ni nani?
 
Juve ilimuuza zizu, Man U ilimuuza CR7, Simba ilimuuza Josee sasa sioni ajabu lolote kwa Fiston kuuzwa
 
Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.

Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al Hilal ya Sudan ila machafuko ya kisiasa yanatishia dili hilo kufanikiwa.

JE, YANGA ATASIMAMA BILA MAYELE?
 
Ila we jamaa wewe.

Yani hapo alipo bado unaona umri wake unaenda sawa na muda?

Wenzetu wa mambele wametuzidi sana kwenye vision ya mpira hususani linapokuja swala la kutaka kusajili.

Wanaposajili wachezaji hawaangalii matokeo ya mwisho ya mchezaji sijui ana goli 10 na assist 8, wao wanaangalia ubora wa mpinzani mpaka jamaa akafunga hizo goli 10.

Sasa we unacheza na Rivers, Mazembe ambao ni too low as fck halafu unataka kukaa mstari mmoja na watu kama Peter Shalulile, Hamza Khabba na Kahraba

Ukiona Al Ahly, Mamelody hawashoboki na mchezaji ambaye wewe kwenye lihi yetu hapa unamuona ni hatari ujue huyo kwenye level za wakubwa ni Zuchu tu.

Yani Al Ahly wakuone regular halafu zitoke Clubs za ulaya zishoboke na wewe, hiyo inawezekana vipi?
Mafanikio ya mtu yanakuumiza kiasi hiki?
 
Nilifikiri upo serious kumbe una ushabiki maandazi. Aliyekwambia waafrika wote waliopo ulaya walianza kwa kuchezea Al Ahly na Mamelody ni nani?
Wote hatupo serious,

Kwa kiwango kipi dhidi ya timu ipi alichokionesha mpaka kiwa impress Europe Clubs?
 
Wote hatupo serious,

Kwa kiwango kipi dhidi ya timu ipi alichokionesha mpaka kiwa impress Europe Clubs?
Soma historia ya Sadio Mane jinsi alivyoingia france kisha urudi uniambie kwa timu ipi aliyokuwa akichezea afrika. Kiwango cha Mayele kama una wasiwasi nacho basi siwezi kukulazimisha lakini ujiulize tu kwanini taarifa zake zimekuwa haziishi kwenye social media platforms za CAF.
 
Ila we jamaa unachekesha

Kwa hiyo CAF kumpost post Mayele hiyo ndio funguo ya yeye kuweza kuwa impress Europe Clubs?

Taarifa za CAF zinachapisha stori za Mayele peke yake hakuna wachezaji wengine?

Nao hao wote wapo kwenye list ya kuwaniwa na Clubs za Ulaya?

Kati ya Sakho na Mayele ni nani ambaye ameandikwa sana kwenye socia media za CAF?
 
Hata hueleweki, rudia post yako niliyokujibu kabla ya hii. Uliuliza kwa kiwango gani alichonacho Mayele? Mimi ndiyo nimekujibu kama una wasiwasi na kiwango chake jiulize kwanini anapostiwa sana na CAF? Sakho alipostiwa mara chache na goli lake la shirikisho msimu uliopita sijui kama msimu huu kapostiwa hata kwa bahati mbaya.

Kuhusu wachezaji wengine wanaopostiwa sijui taarifa zao kama wna malengo ya kwenda ulaya pia waende tu. Kwangu naamini kama mbovu huwezi kupostiwa. Mayele msimu huu anaibuka top scorer wa confederation sasa kama umegoma kukubali kiwango chake kwa ushabiki wako maandazi wa simba na yanga sina sababu ya kukushawishi
 
Back
Top Bottom