Mayele amelalamika mmemtupia majini, hatuwezi kukataa aliyosema kwa sababu alikuwa na nyinyi na mnajua mlivyokuwa mkimpa majini ili aweze kuona mkali dimbani, hatuwezi kupuuza hizi kauli hata kidogo.
Kwamba mmefikia hatua mnamtupia majini hadi huko aliko?
Na bado hapo Mayele hajasema, feitoto naye hajasema pia, sasa najiuliza mnakwenda kuhiji maka kufanya nn? Macca ni mahali patakatifu, macca wanakwenda watu wasafi, wewe unakwenda maka kuhiji halafu unamtumia Haji kurusha majini kwa watu.Huko macca ulienda kucheza makida makida.
Pumbavu zenu nyie halafu unaibuka unamwambia Mayele eti futa post hii, habithil ammar.
Mtasema tu wanga nyie.