Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mimi kama Mwanayanga damu kabisa wala sina habari na Mayele.
Watanzania ndio maana hata wakiachwa na wapenzi wao huwa wanajiua.
Mchezaji wala hakuwa na miaka mitano kwenye timu yenu ila mmeshindwa kabisa kumuacha aendelee na maisha yake?
Mchezaji kama mpenzi, akienda mwache aende na umtakie heri kabisa.
Hatokaa akuumize.