Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Afcon itazua mengi.......bado Osimhen na yeye aseme alichotwa unyayo, ikitoka hapo Mane atasema alichukuliwa msukule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayele amelalamika mmemtupia majini, hatuwezi kukataa aliyosema kwa sababu alikuwa na nyinyi na mnajua mlivyokuwa mkimpa majini ili aweze kuona mkali dimbani, hatuwezi kupuuza hizi kauli hata kidogo.
Kwamba mmefikia hatua mnamtupia majini hadi huko aliko?
Na bado hapo Mayele hajasema, feitoto naye hajasema pia, sasa najiuliza mnakwenda kuhiji maka kufanya nn? Macca ni mahali patakatifu, macca wanakwenda watu wasafi, wewe unakwenda maka kuhiji halafu unamtumia Haji kurusha majini kwa watu.Huko macca ulienda kucheza makida makida.
Pumbavu zenu nyie halafu unaibuka unamwambia Mayele eti futa post hii, habithil ammar.
Mtasema tu wanga nyie.
Kwani majini si ndugu zenu na mnaswali nayo?Mayele amelalamika mmemtupia majini, hatuwezi kukataa aliyosema kwa sababu alikuwa na nyinyi na mnajua mlivyokuwa mkimpa majini ili aweze kuona mkali dimbani, hatuwezi kupuuza hizi kauli hata kidogo.
Kwamba mmefikia hatua mnamtupia majini hadi huko aliko?
Na bado hapo Mayele hajasema, feitoto naye hajasema pia, sasa najiuliza mnakwenda kuhiji maka kufanya nn? Macca ni mahali patakatifu, macca wanakwenda watu wasafi, wewe unakwenda maka kuhiji halafu unamtumia Haji kurusha majini kwa watu.Huko macca ulienda kucheza makida makida.
Pumbavu zenu nyie halafu unaibuka unamwambia Mayele eti futa post hii, habithil ammar.
Mtasema tu wanga nyie.
Kwani wewe uliambiwa Majini ni viumbe vibaya? Unataja taja maka unadhani Sis Waislamu tuna ugomvi na majini kama ninyi Makafir? Majini ninyi ndo mnaona mabaya. Hadi Macca yapo na msikitini yana Swali vizuri tu kwa Allah. Acha ujinga dogo.Mayele amelalamika mmemtupia majini, hatuwezi kukataa aliyosema kwa sababu alikuwa na nyinyi na mnajua mlivyokuwa mkimpa majini ili aweze kuona mkali dimbani, hatuwezi kupuuza hizi kauli hata kidogo.
Kwamba mmefikia hatua mnamtupia majini hadi huko aliko?
Na bado hapo Mayele hajasema, feitoto naye hajasema pia, sasa najiuliza mnakwenda kuhiji maka kufanya nn? Macca ni mahali patakatifu, macca wanakwenda watu wasafi, wewe unakwenda maka kuhiji halafu unamtumia Haji kurusha majini kwa watu.Huko macca ulienda kucheza makida makida.
Halafu unaibuka unamwambia Mayele eti futa post hii, habithil ammar.
Mtasema tu wanga nyie.
Sasa Mumroge na Kumtupia majini mnataka akae kimya..Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
View attachment 2901484View attachment 2901485
Teh teh teh 😂😂😂 noma sanaNdio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..😀🤣🤣
mayele kakwama,na nyie mambumbu mmekwama...yaani wote mmekwama nani atamsaidia mwenzie!!!Mayele amelalamika mmemtupia majini, hatuwezi kukataa aliyosema kwa sababu alikuwa na nyinyi na mnajua mlivyokuwa mkimpa majini ili aweze kuona mkali dimbani, hatuwezi kupuuza hizi kauli hata kidogo.
Kwamba mmefikia hatua mnamtupia majini hadi huko aliko?
Na bado hapo Mayele hajasema, feitoto naye hajasema pia, sasa najiuliza mnakwenda kuhiji maka kufanya nn? Macca ni mahali patakatifu, macca wanakwenda watu wasafi, wewe unakwenda maka kuhiji halafu unamtumia Haji kurusha majini kwa watu.Huko macca ulienda kucheza makida makida.
Halafu unaibuka unamwambia Mayele eti futa post hii, habithil ammar.
Mtasema tu wanga nyie.
MAKOLO FCMajini FC...
Shem Kongo sipana uchawi kwani Kashindwa rudisha ilo jini😂Eti majini 😂😂😂😂
Huyu mkongo jau alooo!!
Yaani viongozi wenu na mashabiki wenu ndio kawataja.Na zeruzeru Haji Manara kamuomba afute posti yake kagoma.Wewe unakurupuka eti ni Simba.Wafanye hivyo ili wafaidike nini?Itakuwa Chuki Za Mashabiki Wa Simba Kwa Kukandwa.
Dar Young Africans Tulimalizana Nae Kwa Wema Kabisa.
Nyinyi mnaitwa MAJINI FC ,haya mmeelewa?Mimi sijaelewa hapa ni nini kinaendelea. Ungeamza kutuelewesha usifanye kama vile tuko huko