Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Ndio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..πŸ˜€πŸ€£πŸ€£
 
Mayele amelalamika mmemtupia majini, hatuwezi kukataa aliyosema kwa sababu alikuwa na nyinyi na mnajua mlivyokuwa mkimpa majini ili aweze kuona mkali dimbani, hatuwezi kupuuza hizi kauli hata kidogo.

Kwamba mmefikia hatua mnamtupia majini hadi huko aliko?

Na bado hapo Mayele hajasema, feitoto naye hajasema pia, sasa najiuliza mnakwenda kuhiji maka kufanya nn? Macca ni mahali patakatifu, macca wanakwenda watu wasafi, wewe unakwenda maka kuhiji halafu unamtumia Haji kurusha majini kwa watu.Huko macca ulienda kucheza makida makida.

Halafu unaibuka unamwambia Mayele eti futa post hii, habithil ammar.

Mtasema tu wanga nyie.
 
Hahahah
 
Mtupa majini anajulikana sana ni yule mzungu aliyekimbia simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…