kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
Yani hapa ndo mazoezi ntafanya sasa, bila music mmmmh
...yea, bila music hui enjoy na unachoka haraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hapa ndo mazoezi ntafanya sasa, bila music mmmmh
MR abs. [HASHTAG]#coachfitness[/HASHTAG] [HASHTAG]#trainer[/HASHTAG] (@trainwithfadhilimbaga) • Instagram photos and videosNdugi zangu kama kuna mtu yoyote ni professional personal trainer anitumie namba yake ni mpe mchongo anawekun WhatsApp 0657684187 kama si ww bas mshtue mtu unae mfahmu
Watu wengi wanatumia gharama kubwa kwenda gym,ila hawajui wanaweza fanyia mazoezi hata nyumbani na bado wakaenjoy,unaweza hata kuweka muziki ukacheza,ni zoezi tosha,au kuruka kamba,pushups,situps,etc
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mazoezi ya kukimbia yanakata jasho/ kikwapa na hata harufu ya mdomoni nimehakikisha hilo
Mazoezi humfanya mtu kupumua vizuri na wepesi wa mwili.
Mazoezi huleta afya ya mwili.
Mbona unanicheka?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji123] [emoji123] [emoji123]
Kweli mkuu wewe chunguza sanaHapana, sikucheki wewe.
Nacheka tu kuhusu kikwapa.
Mkuu kugain ni rahisi sana ila inategemea unataka kugain weight ya mwili tu kua kibongeKila mtu anataka apunguze weight, hakuna wenzangu namie mnaotaka kugain,
Kugain muscles haswa lower body muscles, nahis navofanya mazoezi naongezeka juu tuMkuu kugain ni rahisi sana ila inategemea unataka kugain weight ya mwili tu kua kibonge
au kugain muscles kukata body shape yako
Kuna watu unafanya nao au unafanya mwenyewe?Kugain muscles haswa lower body muscles, nahis navofanya mazoezi naongezeka juu tu
AsanteKuna watu unafanya nao au unafanya mwenyewe?
itakua unazidisha zaidi mazoezi ya juu bila kubalance sawa na chini
Nitakueleza namna ya kutatua hilo ila ungeanza kwa kupitia youtube utazame baadhi ya mazoezi ya lower muscles itakusaidia sana na ujitahidi kubalance sio kitu kigumu
Sababu zaweza kua hizi:Mara nyingi huwa nafanya jogging asubh hasa hasa siku za weekend coz ratiba ya kazi pia inabana...
Nina tatizo la kubanwa na kichomi wakati wa jogging, nahitaji kutaka kujua tatizo hili linasabishwa na nini na nifanye nini ili kuepuka na hali hyo?