Fitness and wellness

Fitness and wellness

So yesterday was chest and triceps day at LA Fitness.

I'm so sore right now it's not even funny.

Definitely need some myofascial release on my tris and pecs.

20160910_162042.jpg

Going heavy on the bench...by far my favorite exercise.

20160910_173638.jpg

Seated wide chest for your outer pecs....

20160910_170759.jpg

Of course gotta workout in style...music makes my workouts go smooth...

20160911_164913.jpg
 
Had to cop me a protein smoothie after a grueling workout session...

20160910_171835.jpg
 
Watu wengi wanatumia gharama kubwa kwenda gym,ila hawajui wanaweza fanyia mazoezi hata nyumbani na bado wakaenjoy,unaweza hata kuweka muziki ukacheza,ni zoezi tosha,au kuruka kamba,pushups,situps,etc
 
Watu wengi wanatumia gharama kubwa kwenda gym,ila hawajui wanaweza fanyia mazoezi hata nyumbani na bado wakaenjoy,unaweza hata kuweka muziki ukacheza,ni zoezi tosha,au kuruka kamba,pushups,situps,etc

Na siyo lazima kufanya mazoezi tu.

Hata shughuli za nyumbani tu zinaweza kuwa ni mazoezi ya kutosha.

Ndo maana vijijini kwa mfano, ni vigumu kukuta mtu aliyejinenepea tu hovyohovyo.

Mtu badala ya kwenda kazini na gari unaweza ukatembea mpaka kituoni. Kama kituo kipo karibu na nyumbani kwako basi tembea hadi kituo kinachofuata.

Unaweza ukasafisha nyumba yako mara kadhaa kwa wiki. Fagia, futa vumbi, piga deki, na kadhalika.

Kama una majani hapo nje ya nyumba, yafyeke mwenyewe. Usiajiri mtu.

Shughuli za kufanya in lieu ya kufanya mazoezi zipo nyingi mno.
 
pamoja na umri wangu kuanza kunitupa mkono ila mazoezi ni sehemu ya maisha yangu tokea kijana Enzi zangu nilikuwa nakimbia toka Tambaza mpaka sinza kila siku nikitoka shule na sasa bado napiga ball kama kawaida na vijana hawachukui mpira mguuni kwangu
 
Mazoezi ya kukimbia yanakata jasho/ kikwapa na hata harufu ya mdomoni nimehakikisha hilo
Mazoezi humfanya mtu kupumua vizuri na wepesi wa mwili.
Mazoezi huleta afya ya mwili.
 
Mazoezi ya kukimbia yanakata jasho/ kikwapa na hata harufu ya mdomoni nimehakikisha hilo
Mazoezi humfanya mtu kupumua vizuri na wepesi wa mwili.
Mazoezi huleta afya ya mwili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Kila mtu anataka apunguze weight, hakuna wenzangu namie mnaotaka kugain,
 
Kila mtu anataka apunguze weight, hakuna wenzangu namie mnaotaka kugain,
Mkuu kugain ni rahisi sana ila inategemea unataka kugain weight ya mwili tu kua kibonge

au kugain muscles kukata body shape yako
 
Mkuu kugain ni rahisi sana ila inategemea unataka kugain weight ya mwili tu kua kibonge

au kugain muscles kukata body shape yako
Kugain muscles haswa lower body muscles, nahis navofanya mazoezi naongezeka juu tu
 
Kugain muscles haswa lower body muscles, nahis navofanya mazoezi naongezeka juu tu
Kuna watu unafanya nao au unafanya mwenyewe?

itakua unazidisha zaidi mazoezi ya juu bila kubalance sawa na chini

Nitakueleza namna ya kutatua hilo ila ungeanza kwa kupitia youtube utazame baadhi ya mazoezi ya lower muscles itakusaidia sana na ujitahidi kubalance sio kitu kigumu
 
  • Thanks
Reactions: kui

Asante
 
Mara nyingi huwa nafanya jogging asubh hasa hasa siku za weekend coz ratiba ya kazi pia inabana...

Nina tatizo la kubanwa na kichomi wakati wa jogging, nahitaji kutaka kujua tatizo hili linasabishwa na nini na nifanye nini ili kuepuka na hali hyo?
 
Sababu zaweza kua hizi:
Unakunywa maji au kinywaji kabla ya kukimbia.

Unaishiwa pumzi na kufosi kwenda umbali ambao mwili wako haujaukubali.

Kwa kawaida kufanya mazoez kwa wiki mara moja kama zinavyofanya jogging clubs za huku uswahilin kwetu hazifany mwili kua transformed kuendana na hiyo hali.

Nashauri badala ya kukimbia uwe unatrot, ukifika destination yako (wengi hua inakua beach au uwanja wa mpira) ongeza spid gradually ila isifike level ya kusema unakimbia. Unaenda round unazoona unaziweza (narecommende zianzie tano) kisha unarudi home kwa kutrot (sio kukimbia).
 
Back
Top Bottom