Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari kwako pia mkuu,ngoja nikupe faida za fixed account,faida moja wapo katika fixed account at maturity time huwa kuna riba(interest rate) ila rate zinatofautiana kati ya bank na bank,faida nyingine pia huwa hakuna ada ama makato ya mwezi maana siku ikiwa matured utapewa pesa yako kama ililivyo na faida ya riba juu,na pia riba huwa ina ongezeka kutokana na unataraji kuchukuwa kwa muda gani yani muda wa ku-mature,huwa kuna miezi 3,6,12,24...Mimi binafsi napenda kuweka kwa miezi 3 na kwanini fixed account ni kwa kuwa unakuta nina jambo natarajia kulifanya kama baada ya miezi kadhaa nichukuwe pesa yangu hasa nikiwa na malengo ya kujenga nyumba ama kuwekeza kwenye shamba, ama kama nataka gari na hela haijatoshelea huwa naweka kwenye fixed account kwa kuwa hela ya kwenye fixed account masharti yake haruhusiwi kifanya withdraw mpaka time of maturity,mimi huwa sipendi kuweka hela kwenye fixed account kwa muda mrefu huwa sizidi miezi mitatu kwa kuwa kuna emergency ya mahitaji huwa katika hali ya kawaida hutokea na unahitaji pesa kwahiyo sishauri kuweka hela kwenye fixed account mwaka mzima, ni heri uweke miezi mitatu ama miezi sita then una renew kuna unafuu, ila yote kwa yote kuweka fedha kwenye fixed account ni kamchezo kazuri sana na hela inakuwa at safe side kuepuka matumizi ya kiholela na pesa utaichukuwa kama ilivyo na faida juu....mimi huwa napenda kuwekeza kiasi kikubwa kwenye fixed account ndo faida yake utaona kuanzia milioni kumi na kupanda juu ila pia kwa miezi michacheHabari zenu. Je kuna umuhimu wowote wa kuweka hela yako katika fixed account ...? Na naomba tujulishane kua ni benk gan nchini mwetu wanatoa riba nzur at the end of maturity.
Asante mkuu kwa ufafanuzi wako ...Habari kwako pia mkuu,ngoja nikupe faida za fixed account,faida moja wapo katika fixed account at maturity time huwa kuna riba(interest rate) ila rate zinatofautiana kati ya bank na bank,faida nyingine pia huwa hakuna ada ama makato ya mwezi maana siku ikiwa matured utapewa pesa yako kama ililivyo na faida ya riba juu,na pia riba huwa ina ongezeka kutokana na unataraji kuchukuwa kwa muda gani yani muda wa ku-mature,huwa kuna miezi 3,6,12,24...Mimi binafsi napenda kuweka kwa miezi 3 na kwanini fixed account ni kwa kuwa unakuta nina jambo natarajia kulifanya kama baada ya miezi kadhaa nichukuwe pesa yangu hasa nikiwa na malengo ya kujenga nyumba ama kuwekeza kwenye shamba, ama kama nataka gari na hela haijatoshelea huwa naweka kwenye fixed account kwa kuwa hela ya kwenye fixed account masharti yake haruhusiwi kifanya withdraw mpaka time of maturity,mimi huwa sipendi kuweka hela kwenye fixed account kwa muda mrefu huwa sizidi miezi mitatu kwa kuwa kuna emergency ya mahitaji huwa katika hali ya kawaida hutokea na unahitaji pesa kwahiyo sishauri kuweka hela kwenye fixed account mwaka mzima, ni heri uweke miezi mitatu ama miezi sita then una renew kuna unafuu, ila yote kwa yote kuweka fedha kwenye fixed account ni kamchezo kazuri sana na hela inakuwa at safe side kuepuka matumizi ya kiholela na pesa utaichukuwa kama ilivyo na faida juu....mimi huwa napenda kuwekeza kiasi kikubwa kwenye fixed account ndo faida yake utaona kuanzia milioni kumi na kupanda juu ila pia kwa miezi michache
Hata mie kuna Jamaa yupo Postal Bank aliniambia Best rates zipo Access.Hakuna gharama Za kuendesha fixed account lakini unapovuna interest yako baada ya kumature unakatwa kodibest rates zinko finca na access bank.kwa finca ni 13% kwamiezi 3 wakati kwa access bank ni 13.8% kwa miezi mitatu ila kwa mwaka ni 15%
You have a point.. Hata kama inflation ni 10% pesa yako yaweza kuwa na thamani ile ile kama zile bidhaa unazotumia hazijapanda bei. Kwa hiyo watu waache kuwa extremist kiasi hichoInflation haiwi deducted isipokuwa fedha uliyoipata unakuta imepungua thamani kwa hiyo rate ya inflation, sema point kubwa pia inategemea ni bidhaa gani ambazo zimeathiriwa sana na inflation.
Inflation haiwi deducted isipokuwa fedha uliyoipata unakuta imepungua thamani kwa hiyo rate ya inflation, sema point kubwa pia inategemea ni bidhaa gani ambazo zimeathiriwa sana na inflation.
You have a point.. Hata kama inflation ni 10% pesa yako yaweza kuwa na thamani ile ile kama zile bidhaa unazotumia hazijapanda bei. Kwa hiyo watu waache kuwa extremist kiasi hicho
Asee Mkuu hesabu yako haiko Sawa kabisaaa, kama kwa mwaka riba ya access bank ni 15% then kwa miezi 3 riba utayopata ni 3/12×15%=3.75%, hio 3.75% ndio rates utayolipwa Mkuu, hio 13.8% ni impossible kabisa Mkuu.best rates zinko finca na access bank.kwa finca ni 13% kwamiezi 3 wakati kwa access bank ni 13.8% kwa miezi mitatu ila kwa mwaka ni 15%
7.5% kwa mwaka mzima? Daah hio ni ndogo Sana chiefCrdb bank wanatoa Interest (Riba) ya 7.5% Kwa mwaka. Kama una cash usiogope lolote nenda bank weka mzigo akuna vikwazo vyovyote baada ya siku 365 unapata faida yako bila shida yoyote mwenye fedha na assets wewe ni mfalme kwao
There it depends on the bank you are about to open fixed deposit account mkuu, kwa mfano TPB kwa miezi sita tu ukiweka million5 ita generate faida ya 150000,wao miezi 3 wana rate ya 5%,miezi 6 wana rate ya 6%.... Ni vyema kuwa watafiti wa mambo from the right source kuliko kusikia kwa mtu baki ni vyema pitia kila bank na kuuliza mchakato huu wa uwekezaji, bank zipo kwa ajili yetu, pitia bank mbalimbali, hapa tunapeana mwanga ila jaribu pia to make ur own effort...crdb /barclays wapo gud.though cjawai kufungua fixed account.nina za hundi tu. ila ili unufaike naona uwe na kuanzia 5,000,000tzs.rate nimesahau.
-mfano fixed crdb wanaanzia laki 5.ukiweka 1m.kwa mwaka unapata haizidi laki 1.
wekeza UTT achana na hao makabwela7.5% kwa mwaka mzima? Daah hio ni ndogo Sana chief
Since UTT zinakua categorized kama low risks investment, usishangae return yake ni ndogo zaidi au Sawasawa na hio ya fixed account. The lower the risk, the lower the returns.wekeza UTT achana na hao makabwela