Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Kweli kabisa Wakati mwingine kuweka pesa Sana benki faida ni ndogo sana. Bora pesa iwe ktk mizunguko wa biashara. Maana faida inayopatikana unaweza ukaipata kwa mwezi mmoja
 
Habari zenu. Je kuna umuhimu wowote wa kuweka hela yako katika fixed account ...? Na naomba tujulishane kua ni benk gan nchini mwetu wanatoa riba nzur at the end of maturity.
 
Najua umu Kuna wenzetu wapo wengi tuu ktk taasisi za kifedha na mnajua viwango vya Fixed deposits tunaomba kutoa shule apa katika jukwaa
 
Habari zenu. Je kuna umuhimu wowote wa kuweka hela yako katika fixed account ...? Na naomba tujulishane kua ni benk gan nchini mwetu wanatoa riba nzur at the end of maturity.
Habari kwako pia mkuu,ngoja nikupe faida za fixed account,faida moja wapo katika fixed account at maturity time huwa kuna riba(interest rate) ila rate zinatofautiana kati ya bank na bank,faida nyingine pia huwa hakuna ada ama makato ya mwezi maana siku ikiwa matured utapewa pesa yako kama ililivyo na faida ya riba juu,na pia riba huwa ina ongezeka kutokana na unataraji kuchukuwa kwa muda gani yani muda wa ku-mature,huwa kuna miezi 3,6,12,24...Mimi binafsi napenda kuweka kwa miezi 3 na kwanini fixed account ni kwa kuwa unakuta nina jambo natarajia kulifanya kama baada ya miezi kadhaa nichukuwe pesa yangu hasa nikiwa na malengo ya kujenga nyumba ama kuwekeza kwenye shamba, ama kama nataka gari na hela haijatoshelea huwa naweka kwenye fixed account kwa kuwa hela ya kwenye fixed account masharti yake haruhusiwi kifanya withdraw mpaka time of maturity,mimi huwa sipendi kuweka hela kwenye fixed account kwa muda mrefu huwa sizidi miezi mitatu kwa kuwa kuna emergency ya mahitaji huwa katika hali ya kawaida hutokea na unahitaji pesa kwahiyo sishauri kuweka hela kwenye fixed account mwaka mzima, ni heri uweke miezi mitatu ama miezi sita then una renew kuna unafuu, ila yote kwa yote kuweka fedha kwenye fixed account ni kamchezo kazuri sana na hela inakuwa at safe side kuepuka matumizi ya kiholela na pesa utaichukuwa kama ilivyo na faida juu....mimi huwa napenda kuwekeza kiasi kikubwa kwenye fixed account ndo faida yake utaona kuanzia milioni kumi na kupanda juu ila pia kwa miezi michache
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi wako ...
sasa benk ipi ina riba nzuri
 
best rates zinko finca na access bank.kwa finca ni 13% kwamiezi 3 wakati kwa access bank ni 13.8% kwa miezi mitatu ila kwa mwaka ni 15%
Hata mie kuna Jamaa yupo Postal Bank aliniambia Best rates zipo Access.Hakuna gharama Za kuendesha fixed account lakini unapovuna interest yako baada ya kumature unakatwa kodi
 
Inflation haiwi deducted isipokuwa fedha uliyoipata unakuta imepungua thamani kwa hiyo rate ya inflation, sema point kubwa pia inategemea ni bidhaa gani ambazo zimeathiriwa sana na inflation.
You have a point.. Hata kama inflation ni 10% pesa yako yaweza kuwa na thamani ile ile kama zile bidhaa unazotumia hazijapanda bei. Kwa hiyo watu waache kuwa extremist kiasi hicho
 
Ni kweli there is apoint, hapo mnazungumzia concept ya thamani ya pesa ya leo haiwezi fanana na thamani ya pesa ya kesho yani (TVM),

The time value of money, or TVM, assumes a dollar in the present is worth more than a dollar in the future because of variables such as inflation and interest rates. Inflation is the general increase in prices. The value of money depreciates as time goes by as a result of a change in the general level of prices

Kwa hiyoTVM is a very important concept in finance,

Ila kwenye fixed account kwa upande wangu ndo maana nilitia mkazo na kushauri kutumia short time deposit yani miezi mitatu ama sita na uweke pesa ya kutosha yani huge amount katika hii account,

pia fixed account kwangu naipenda kwa sababu hizi factors hapa:
1.hamna makato ya mwezi(ada ya mwezi)
2.kuna riba(ongezeko la faida)
3.safety kwenye hiyo account, sometime unaweza ukazalisha faida kubwa katika biashara usijuwe utafanyia nini,weka miezi mitatu kwenye fixed account then utaichukua kama ilivyo yani (usalama kwenye matumiz holela hasa kama huna plan at the moment)
3.miezi mitatu ni tosha kuweka hela kwa kuwa kuweka pesa kwa muda mrefu unaishusha thamani pesa(ili uweze to overcome inflation kwa miezi mitatu unakuta inflation of goods not at higher so your purchase will not be affected by inflation)
4.hii account inafaa sana kwa mtu mwenye mipango ya baadae(yani future plan)
5.it is simple to open hakuna milolongo
6.interest rate upanda kutokana na miezi uliochagua mpaka maturity(hapa utasikia bank fulani inatoa riba nzuri yani 14% lakini hiyo rate ni ya mwaka mwenye kujua rate za access bank from miezi 3,6,...... atuwekee hapa itusaidie kufanya maamuzi mazuri)
7.fixed account ni account bora naweza sema hivyo mimi binafsi imenisaidia kwa kiasi fulani
 
Katika maesabu inakuwa hivii
Miezi 3 Riba ni 3.5%
Miezi 6 Riba ni 7.0%
Miezi 9 Riba ni 10.50%
Miezi 12 Riba ni 14%
Kodi sijajua kama ni 9% au 14% ya iyo pesa uliyopta
 
crdb /barclays wapo gud.though cjawai kufungua fixed account.nina za hundi tu. ila ili unufaike naona uwe na kuanzia 5,000,000tzs.rate nimesahau.
-mfano fixed crdb wanaanzia laki 5.ukiweka 1m.kwa mwaka unapata haizidi laki 1.
 
Ukiona una hela za kuweka kwenye fixed deposit then ujue uko kwenye hatari ya kupata financial crisis hapo mbeleni. Maana uwezo wako wa ku multiply pesa ni mdogo sana.
 
Trueeee ni kweli kabisa kama una uwezo wa kuzungusha pesa. Fixed deposits ni nzuri kama una shughuli muhimu
 
best rates zinko finca na access bank.kwa finca ni 13% kwamiezi 3 wakati kwa access bank ni 13.8% kwa miezi mitatu ila kwa mwaka ni 15%
Asee Mkuu hesabu yako haiko Sawa kabisaaa, kama kwa mwaka riba ya access bank ni 15% then kwa miezi 3 riba utayopata ni 3/12×15%=3.75%, hio 3.75% ndio rates utayolipwa Mkuu, hio 13.8% ni impossible kabisa Mkuu.
 
Crdb bank wanatoa Interest (Riba) ya 7.5% Kwa mwaka. Kama una cash usiogope lolote nenda bank weka mzigo akuna vikwazo vyovyote baada ya siku 365 unapata faida yako bila shida yoyote mwenye fedha na assets wewe ni mfalme kwao
7.5% kwa mwaka mzima? Daah hio ni ndogo Sana chief
 
crdb /barclays wapo gud.though cjawai kufungua fixed account.nina za hundi tu. ila ili unufaike naona uwe na kuanzia 5,000,000tzs.rate nimesahau.
-mfano fixed crdb wanaanzia laki 5.ukiweka 1m.kwa mwaka unapata haizidi laki 1.
There it depends on the bank you are about to open fixed deposit account mkuu, kwa mfano TPB kwa miezi sita tu ukiweka million5 ita generate faida ya 150000,wao miezi 3 wana rate ya 5%,miezi 6 wana rate ya 6%.... Ni vyema kuwa watafiti wa mambo from the right source kuliko kusikia kwa mtu baki ni vyema pitia kila bank na kuuliza mchakato huu wa uwekezaji, bank zipo kwa ajili yetu, pitia bank mbalimbali, hapa tunapeana mwanga ila jaribu pia to make ur own effort...
 
wekeza UTT achana na hao makabwela
Since UTT zinakua categorized kama low risks investment, usishangae return yake ni ndogo zaidi au Sawasawa na hio ya fixed account. The lower the risk, the lower the returns.
 
Back
Top Bottom