FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

What's going on here?

mambo ya ngoswe ndugu ...hili jukwaa lina vituko sana. Watu waanziaga chemba (chumbani) kwanza halafu ndo wanaingia huku sebuleni ... ukiona hivyo we kaa kimya tu!! Jambo usilolijua ...!!
 
one can tell jus by reading your writing.....hahaaaaa
(bt am not imagining the rest though....teh teh)

I had a very good night though...you can just imagine me being me....you know I put it down like no other....
 

thanx my dear wajua sikujua huyu katokea wapi na anataka nn !!!!!
Yote namwachia mungu!!
 
I had a very good night though...you can just imagine me being me....you know I put it down like no other....

heheeee thats my shemeji...hapo kwa red....

am still counting the days.......
 
mambo ya ngoswe ndugu ...hili jukwaa lina vituko sana. Watu waanziaga chemba (chumbani) kwamba halafu ndo wanaingia huku sebuleni ... ukiona hivyo we kaa kimya tu!! Jambo usilolijua ...!!

dah respect mkuu!!!
 

EW kuanzia leo naahidi kujibu PM zako bila kukosa naona mambo ya room sasa yameanza kuamia sebuleni
 
Nimemuelewa sana huyo Mtu.. Wala hana tatizo kabisa. Anampenda FL1 wetu kwa nia nzuri tu. Unajua hata mimi ninaweza kumpenda kwa nia nzuri mwenzangu na kupenda awe rafiki yangu wa kawaida. Yaani nitajisikia sana nikiwa ni rafiki wa fulani au namfahamu fulani.. Mama nakusihi mjibu kwenye PM pls.

SAMAHANI KAMA NIMEWAKWAZA!!!
 
Wapendwa hii Topic kila ninavyozidi kuisoma ndo siielewi kabisa ... thanx god mtoa sredi kaomba samahani
 
thanx my dear wajua sikujua huyu katokea wapi na anataka nn !!!!!
Yote namwachia mungu!!

kwa kuwa wengi hatujui alichoku-PM EW,
na kwa vile wengi pia wame / tume kwazika,
na ukizingatia pia JF hairuhusu kuanika mambo mliyoongelea chumbani (binafsi sifafurahia kabisa hiki kitendo),
nashawishika kukupa POLE mamushka!

piga moyo konde kwa kuwa wewe bado ni FL1 wa ukweli humu ndani!! (bht, WoS, xpin, Geoff na fide80 naomba thenksi zangu pls!!) πŸ™‚
 


Thanx Dreamliner nimeahidi kumjibu PM zote atakazotuma mradi tu zisivuke mipaka πŸ˜‰
 

japo hujaniomba ngoja nikupe THANKS!
 
acha uvivu bht ... bonyeza kitufe basi .... πŸ™‚

sina mazoea n hii kitu ujue.....mnanilaumu bure tu jamani......nimegonga pale ulipodai kwa nguvu na kabla y ahapo pia nimekugondea.....na hapa tena??? aaah zimeisha store ngoj aniweke order kwa invisible ani-supply!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…