Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
na wao wasafi wakizingua tutahamia mziki mnene EFM ambao naona kama wiki mbili hizi wamepotezwa na hili bifu la WCB vs CMGWatu mna vijembe mara hii mmesahau hata fiesta ilianza kwa mbwembwe kama hivi,wasanii kibao wa majuu walipanda jukwaani.
korosho zipo kwenye maghala hazijauzwa bado,sasa hivi wanakula hela za NaziKwa hiyo WASAFI baada ya kuona wakulima wa KOROSHO kule mtwara wamepokea hela, ndo wakaamua kwenda KUWAKAMUA vizuri hizo hela zao, kwa kufanya hilo tamasha?[emoji53]
Wasipo kua makini hao wakulima wa korosho, watakula MTAJI wote wa msimu ujao halafu waanze KULIALIA wapewe mkopo na serikali wa kulimia mwakani.[emoji18]
Hakuna malipo yaliyofanyika kwa Mkoa mzima wa Mtwara mpaka sasa..Kwa hiyo WASAFI baada ya kuona wakulima wa KOROSHO kule mtwara wamepokea hela, ndo wakaamua kwenda KUWAKAMUA vizuri hizo hela zao, kwa kufanya hilo tamasha?[emoji53]
Wasipo kua makini hao wakulima wa korosho, watakula MTAJI wote wa msimu ujao halafu waanze KULIALIA wapewe mkopo na serikali wa kulimia mwakani.[emoji18]
Wanajua wakulima hata KUKOPA basi WATAKOPA ili waende, halafu zikitoka watalipa. [emoji53]Hakuna malipo yaliyofanyika kwa Mkoa mzima wa Mtwara mpaka sasa..
Kama walilenga za korosho hapo imekula kwao..
Mkuu huko vijijini hali ni mbaya hakuna hata wa kumkopa. Watapata wateja waliopata mishahara mwisho wa mwezi ila sio hao wakulima..Wanajua wakulima hata KUKOPA basi WATAKOPA ili waende, halafu zikitoka watalipa. [emoji53]
Ushasikia mtu anachukua MKOPO ili AKAFANYE STAREHE, halafu atalipa? Ndio hii sasa
usiwasemee watu wewe,kama buna hela ni wewe.Mkuu huko vijijini hali ni mbaya hakuna hata wa kumkopa. Watapata wateja waliopata mishahara mwisho wa mwezi ila sio hao wakulima..
Ambao walikuwa hawaamini mfano basattaHawaamini akina nani mkuu..
Sawa nimekusoma boss..usiwasemee watu wewe,kama buna hela ni wewe.
wanaume wa DarHawaamini akina nani mkuu..
Umenikumbusha early 90s Mzee wa kwasakwasa Kanda Bongo Man alikuwa juu mbaya akaenda Nairobi kwa show. Mapromota wa Kenya wakadata maana show zake raia walijaa kinoma. So akaapata show karibu miezi miwili almost kila siku. Moi akaona huu ujinga baada ya sikumbuki vizuri alikuwa binti yake au mkewe kutoroka usiku kwenda kwenye show ya Kanda Bongo Man. Moi akampa 24hrs awe nje ya Kenya.Kwa hiyo WASAFI baada ya kuona wakulima wa KOROSHO kule mtwara wamepokea hela, ndo wakaamua kwenda KUWAKAMUA vizuri hizo hela zao, kwa kufanya hilo tamasha?[emoji53]
Wasipo kua makini hao wakulima wa korosho, watakula MTAJI wote wa msimu ujao halafu waanze KULIALIA wapewe mkopo na serikali wa kulimia mwakani.[emoji18]
Alafu sister una chuki sana na vijana Wa WCB nimekufatilia kwa mda mrefu nimeliona hilo sikia nikwambie sister mziki ni kazi na ni ajira mziki umeajir vijana wengi sana ambao kwa sasa nahisi wangekuwa vibaka tu. Mziki ndo kimbilio letu sisi vijana ambao hatujasoma. Kwa hiyo tunahitaji Mapinduz katika music ili wasanii tunufaike na vipaji vyetu hatutaki unyonyaji kwenye music tunataka hakiWatu mna vijembe mara hii mmesahau hata fiesta ilianza kwa mbwembwe kama hivi,wasanii kibao wa majuu walipanda jukwaani.