Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Msanii wa kimataifa kitoka Nigeria,Mr.Flavour amethibitisha kuwa atakuwepo kwenye uzinduzi wa tamasha Konki la wasafi festival 2018 litakalofanyika kesho jumammosi Nov 24,Mtwara.
akiongea kupitia 88.9wasafi FM mtabe huyo wa,Nwa baby,obianuju,wake up n.k amesema amejipanga kuhakikisha analeta mapinduzi ya burudani na kuifanya sanaa izaliwe upya nchini Tanzania.
Flaviour anataraji kupanda jukwaani na ngoma.mbili kali ambazo ameimba na Diamond platnumz time to party na Nana ambayo kwa sasa ina views zaidi ya Milioni 40 huko youtube.
kweli huu mchezo usiuchezee,hawaamini wanachokiona