Flora kwisha habari yake,Mbasha amtambulisha mama mchungaji,Snura anasubiri

Ni kondoo wake?
 
Nimewaza tu baada ya kusoma comment za humu. Hivi hao waliopo kwenye hii picha kuna uthibitisho gani kuwa ni Mbasha na mke mtarajiwa? Maana sioni sura zao kwa mbele kama uthibitisho kuwa ni wao kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…