Uchaguzi 2020 Flora Lauwo wa Nitetee Foundation atia nia Viti Maalum, CCM

Uchaguzi 2020 Flora Lauwo wa Nitetee Foundation atia nia Viti Maalum, CCM

Halafu wamedhatiti, hadi kibuyu cha uchawi kinaanguka mbele yao.. ndio ujue wajumbe wako gado 🤣🤣🤣
Mwenye nguvu na mamlaka ni mmoja tuu nae ni Mungu. Sasa pale unapokuta mtia nia ana nia zake mbaya halafu anatumia Kibuyu, Quran na bible kwa maslahi binafsi ndio Mungu anaingilia kati kwa style yoyote
 
Kapata kura mbili huyo Flora ndo wa mwisho
Mkuu unaweza nilengesha kwenye uzi wenye matokeo ya kura za viti maalum huko kanda ziwa kuna mtu nataka nione kapataje
 
Mkuu unaweza nilengesha kwenye uzi wenye matokeo ya kura za viti maalum huko kanda ziwa kuna mtu nataka nione kapataje
Hayo matokeo ya viti maalumu hayajapostiwa Sana huku mitandao Mambo yameenda kimya kimya tu sijui kwanini
 
Hayo matokeo ya viti maalumu hayajapostiwa Sana huku mitandao Mambo yameenda kimya kimya tu sijui kwanini
ooh ok kweli lkn
Kuna huyu Rachel Mashishanga baba ake alikuaga mwanasiasa pia sema sasa kashastaafu unajua kapataje?
 
ooh ok kweli lkn
Kuna somebody Mashishanga baba ake alikuaga mwanasiasa pia sema sasa kashastaafu unajua kapataje?
Huyo sijafahamu maana ka hiyo sehemu aligombea na mbunge aliyestaafu it's obvious kapigwa chini wabunge waliomaliza mda wote wameshinda kura za maoni maana walikuwa na hela za kuhonga
 
Kumbee!
Nilishangaa kuona maandalizi ya wapiga debe 'eti master'
Wengi wanampenda kwa uandishi wake wa kurusha vijembe na maphotooo kedekede na hubby eti ni kioo cha waingiao kwa ndoa....huwa nacheka basi tu

Katika mastar wanaofake life Zama yuko top 3!>muda utasema
 
Back
Top Bottom