cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hata Halima bulembo hajapitaNasikia Flora Lauwo na Joyce Kiria wote wamepigwa spana. Wamebwagwa vibaya.
Wajumbe wa CCM asanteni kwa kazi nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Halima bulembo hajapitaNasikia Flora Lauwo na Joyce Kiria wote wamepigwa spana. Wamebwagwa vibaya.
Wajumbe wa CCM asanteni kwa kazi nzuri.
Umeme unakatwa kwa 50 elfu na laki,sisi ndio ccm bwanaa
Wamempa za uso?Hata Halima bulembo hajapita
Ila si vizuri akatanua huduma hiyo kwa kiwa kiongozi atawafikia watu wengi zaidiFlora baki na huduma aliyokupa Mungu
Huduma ya kuwasaidia wenye shida hasa watoto, walemavu ni huduma ya kiroho
Usijitenge na Mungu
Mungu wetu ni wa ajabu sana
Siasa itakufundisha mengine usiyoyatarajia
Wamemnyoosha kashinda mdada mdogo mdogo kweli siasa hiziWamempa za uso?
Antu mandoza au Yule mwingine alikua amenyoa??Wamemnyoosha kashinda mdada mdogo mdogo kweli siasa hizi
Huyo dada sijui anaitwa Joan Nani Nani naamini kushinda inabidi uwe na connection kubwaAntu mandoza au Yule mwingine alikua amenyoa??
Kashinda huyu dada sijui huitwa naniAntu mandoza au Yule mwingine alikua amenyoa??
Shida ya hawa wadada wadogo kurudi awamu ingine ni shida,huwa hawasaidii jamii wao ni kuvaa,starehe,kulea vibenten etc....angalia karibia wote ccm wametupwa njeWamemnyoosha kashinda mdada mdogo mdogo kweli siasa hizi
Huyu Flora Lauwo ndo mmiliki wa Flora Salon?Mtangazaji wa kipindi maarufu cha Nitetee Foundation kinachorusha runingani mambo ya kijamii, hasa matatizo , mwanadada Flora Lauwo ametia nia kugombea ubunge, Viti Maalum CCM, Mwanza.
Nimemfahamu since 2007 alikuwa na saloon, jina lilianza kusikika 2010 kupitia upambaji wa ma biharusi.Alikuwa anaji shughulisha na Nini before naona hyo saidia geresha ilikuwa platform ya kupandia kutafta ubunge kiujanja
Ndyo.Huyu Flora Lauwo ndo mmiliki wa Flora Salon?
Anapamba Maharusi yeye mbona anajisahau jamani!Nimemfahamu since 2007 alikuwa na saloon, jina lilianza kusikika 2010 kupitia upambaji wa ma biharusi.
Wengi hujisahau na ni vijana huwa hawasemei vijana wenzao wakati wao wanajua mengi, nilimuona Zainabu katimba anaomba kura kwa kupiga magoti eti alikuwa busy mbunge wa nchi nzima ndio maana.Shida ya hawa wadada wadogo kurudi awamu ingine ni shida,huwa hawasaidii jamii wao ni kuvaa,starehe,kulea vibenten etc....angalia karibia wote ccm wametupwa nje
Mimi nilimuona kwenye kipindi star tv Mara ghafla akaanza na Mambo ya kijamii kumbe lengo lake nikutaka ubungeNimemfahamu since 2007 alikuwa na saloon, jina lilianza kusikika 2010 kupitia upambaji wa ma biharusi.
Kura 2Kwanza kabisa natanguliza SHUKRANI kwa Wajumbe wote. Zaidi, Naomba msaada na kwa Joyce Kiria ili bia zishuke vizuri hapa La Chaz kiroho Safi.
Kumbee!Kama Zamaradi watu walivyokuwa wanampamba,! Zamaradi nae kumbe mpaka kuandaa kutana na star wako kumbe lengo Ni ubunge